Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hamna bwana. Wapo wengi tu wananukia ni wanaume kweli na hawana hizo pigo.Mtoto wa mama ,ni wale Huwa wanajiliza Liza Kwa Wanawake na kujinyonga au kuvurugika maisha kisa wameshindana na mwanamke.
Kiufupi ni wanaume dhaifu sana.