Wakina Mdee wajipanga kukata rufaa. Je, Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge?

Usipotoshe.

Maombi yanapoondolewa kwa kuwa na makosa ya kisheria hukati rufaa bali unayarekebisha na kuyaleta upya.

Watakachofanya kina mdee ni kufanyia marekebisho maombi yao na kuyapeleka Mahakakani.
Wakili kanjanja ungekuwa demu ningesema ulipata Uwakili kwa kuvuliwa kyupi
 
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado haijasikilizwa?

Kuweka kumbukumbu sawa tu hapa JF, ni kuwa Spika Tulia toka awali aliweka msimamo wa kuwatambua kama wabunge halali, Halima Mdee na wenzake kwa kuwa walikata rufaa kwenye baraza kuu la chama chao kupinga uamuzi wa kuvuliwa uanachama wa CHADEMA uliofanywa na kamati kuu.

Hata baada ya baraza kuu la CHADEMA kubariki uamuzi wa kamati kuu wa kuwavua uanachama wa CHADEMA bado spika Tulia alisema kuwa ataendelea kuwatambua wabunge hao kwa kuwa walimweleza kuwa wanajipanga kupinga uamuzi wa CHADEMA mahakamani.

Sababu kuu ya Spika Tulia anayoitumia ni kuwa, mchakato wa kisheria dhidi ya wabunge hao bado haujakamilika.

Sasa watanzania wanasubiria tena kusikia kauli ya Spika Tulia kuendelea kuwakumbatia wakina Mdee, tofauti na hapo Spika Tulia ataoneka ni mnafiki.
Bunge letu ni mali ya rais anayekuwa madarakani
 
Sarakasi za kisheria ngumu sana ..watakata rufaa huku wakiomba status yao isibadilike mpaka majibu ya rufaa.safari bado ni ndefu
 
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado haijasikilizwa?

Kuweka kumbukumbu sawa tu hapa JF, ni kuwa Spika Tulia toka awali aliweka msimamo wa kuwatambua kama wabunge halali, Halima Mdee na wenzake kwa kuwa walikata rufaa kwenye baraza kuu la chama chao kupinga uamuzi wa kuvuliwa uanachama wa CHADEMA uliofanywa na kamati kuu.

Hata baada ya baraza kuu la CHADEMA kubariki uamuzi wa kamati kuu wa kuwavua uanachama wa CHADEMA bado spika Tulia alisema kuwa ataendelea kuwatambua wabunge hao kwa kuwa walimweleza kuwa wanajipanga kupinga uamuzi wa CHADEMA mahakamani.

Sababu kuu ya Spika Tulia anayoitumia ni kuwa, mchakato wa kisheria dhidi ya wabunge hao bado haujakamilika.

Sasa watanzania wanasubiria tena kusikia kauli ya Spika Tulia kuendelea kuwakumbatia wakina Mdee, tofauti na hapo Spika Tulia ataoneka ni mnafiki.
Wataendelea kuwa bungeni hadi 2025
 
Haya Mambo ya kina Halima Mdee yana turudisha nyuma sana ,Kwanza wanatumia pesa za wananchi kinyume na sheria ,pili tunatumia pesa kuendesha hizi kesi na Mwisho viongozi wa nchi hii pamoja na CHADEMA mnatufanya wananchi wajinga Sana .
Chadema ilishanawa mikono, sasa inatufanyaje wajinga?

Serikali iliyowaingiza mjengoni na kuendelea kusikiliza ngonjera za rufaa ndio inatufanya wananchi wajinga
 
Ruge na Kiwanga nao vimeo tu. Kwa nini wasiwalete akina Rose Mayemba angalau wana viwango , uelewa na sio wachumba wa viongozi. Ruge ni mali ya mwenyekiti inajulikana wazi.

Punguza hasira. CHADEMA haipeleki wabunge viti maalum. Mpango uliopo hata mbunge kenani anatajiwa kuitwa mbele ya kamati na madiwani wote.
 
Usipotoshe.

Maombi yanapoondolewa kwa kuwa na makosa ya kisheria hukati rufaa bali unayarekebisha na kuyaleta upya.

Watakachofanya kina mdee ni kufanyia marekebisho maombi yao na kuyapeleka Mahakakani.
Kwahiyo utakuwa mchezo wa danax2 kama kujaza fomu za leseni ya biashara!
Kama ni hivyo mahakama ingewaelekeza jinsi ya kuwakilisha maombi yao upya!
 
Everything is possible. It's difficult to speculate. It could go either way depending Maelekezo toka juu yanasemaje. Nafikiri kuna watu CCM wameajiliwa kwa kazi hiyo.... Spin Doctors.

Yawe maagizo kutoka juu au Chini haki IPO kwa CHADEMA.
 
Kwa kikao kile Cha ikulu nadhani Mama Samia aliridhia waangushwe mahakamani Ili mazungumzo ya katiba mpya yaendelee. Hakuna namna Mbowe angerudi mezani huku kina Mdee Bado wanadunda tu bungeni
Hilo nalo NENO!
 
Usipotoshe.

Maombi yanapoondolewa kwa kuwa na makosa ya kisheria hukati rufaa bali unayarekebisha na kuyaleta upya.

Watakachofanya kina mdee ni kufanyia marekebisho maombi yao na kuyapeleka Mahakakani.

Bado mnawatetea?
 
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa mchakato wa kisheria dhidi yao bado haujakamilika kwa kuwa rufaa wanayojipanga kuikata bado haijasikilizwa?

Kuweka kumbukumbu sawa tu hapa JF, ni kuwa Spika Tulia toka awali aliweka msimamo wa kuwatambua kama wabunge halali, Halima Mdee na wenzake kwa kuwa walikata rufaa kwenye baraza kuu la chama chao kupinga uamuzi wa kuvuliwa uanachama wa CHADEMA uliofanywa na kamati kuu.

Hata baada ya baraza kuu la CHADEMA kubariki uamuzi wa kamati kuu wa kuwavua uanachama wa CHADEMA bado spika Tulia alisema kuwa ataendelea kuwatambua wabunge hao kwa kuwa walimweleza kuwa wanajipanga kupinga uamuzi wa CHADEMA mahakamani.

Sababu kuu ya Spika Tulia anayoitumia ni kuwa, mchakato wa kisheria dhidi ya wabunge hao bado haujakamilika.

Sasa watanzania wanasubiria tena kusikia kauli ya Spika Tulia kuendelea kuwakumbatia wakina Mdee, tofauti na hapo Spika Tulia ataoneka ni mnafiki.

Yani nchi ya ajabu watu wamepigwa PO na bado wanaendelea na ubunge. Bora tuandike katiba mpya.
 
Tulia kapigwa kofi la keleb na mahakama.. Covid 19 waanue tanga maana Mdee aliwakandia mawakili wa serikali bungeni kanyea kambi asitegemee kikao tena
 
Bado wataendelea kuwa wabunge mpaka hapo hayo mambo yatakapoisha lengo lao ni kupeleka muda mbele huku wakijipanga upya ni wapi waelekee.
Hawa kina Mama wanaendelea kujidhalilisha tu kwa jamii. Kale kaheshima walichokiwa wakikipata pale mjengoni sasa kwisha habari yake.
 
Muda huu mdee anachungulia Pichu lake kama limelowana[emoji23][emoji23]
Supika ndio anatia huruma zaidi
IMG-20220623-WA0121.jpg
 
Haya Mambo ya kina Halima Mdee yana turudisha nyuma sana ,Kwanza wanatumia pesa za wananchi kinyume na sheria ,pili tunatumia pesa kuendesha hizi kesi na Mwisho viongozi wa nchi hii pamoja na CHADEMA mnatufanya wananchi wajinga Sana .
Waliofanya wananchi wajinga ni mwendazake jiwe na x sub woofer
 
Back
Top Bottom