Wakina Mdee wajipanga kukata rufaa. Je, Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge?

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa kina Mama wanaendelea kujidhalilisha tu kwa jamii. Kale kaheshima walichokiwa wakikipata pale mjengoni sasa kwisha habari yake.
Watu wanapigania tumbo usifikiri kuna siasa bongo wala africa we endelea kuamini unavyo amini.
 
Yeye ndiyo amewapa mpaka mawakili
 
Uongo, Huwezi Kukataa rufaa Kwenye ruling ya Maombi Madogo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo Akina Halima Walijua Ile Kesi Wanatoboa [emoji1][emoji1]
.
Mawakili wa Halima hawajui hata nani wa kumshitaki kweli Jamani [emoji1][emoji1][emoji1]
.
Halafu Wakili anasaini kiapo Cha mteja Wakati facts zote ana depone mteja wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1487]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Spika kusubiria rufaa ya kina mdee itakuwa ni kishekesho cha mwaka !!
 

Sidhani Kama watakata Rufaa itabidi wafungue Application upya.
 
majibu yake yatakuwa hayo hayo kama ulivyoainisha kwenye uzi wako.ataendelea kuwasogeza ili wamalize ungo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…