Mh labda mi nahisi huwa wanakuwa puzzled kidogo,yaani anajiona jinsi alivyo mrembo halafu anakata gogo,nadhaniHabari wadau
katika utafiti niliofanya mdogo kwa kushirikisha wanawake wa rika zote kuanzia miaka 14 mpaka 45 katika katika mikoa ya arusha,kilimanjaro,mwanza na jiji lenu pendwa la dar es salaam,
Nimegundua wadada wengi wanapoingia/toka chooni kukata gogo hupoteza kujiamini na kuwa na wasiwasi mwingi na hupoteza kumbukumbu hata ukimuuliza swali dogo mfano ,dada hiki choo cha kike au kiume atakasirika na kumwaga matusi na asikupe jibu katika uchunguzi nilioufanya wa kutembelea vyoo vya public na vyoo vya nyumbani vyenye wapangaji wengi,na wenye kuishi familia ndani ya dakika kumi mtu anapoteza kumbukumbu
mpaka muda huu nawasilisha report yangu bado najiuliza kinachowatatiza wakina dada ni aibu ama kutojikubali
Karibuni sana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta demu mrembo utadhani anyi..! Kumbe anashusha gogo moja km cobra..Mmmh acha uwongo[emoji15]
Kwan digestive system inachagua mtu?Unakuta demu mrembo utadhani anyi..! Kumbe anashusha gogo moja km cobra..
Eeehhunakuwa unajisikia aibu aibu eeh?
Demu mzuri afu unakunya kitu kinanuka vibaya mno..!Kwan digestive system inachagua mtu?
Kwanini unafikri ua president naye hafanyi hivyo. Ebu tafuta kitu chenye logic u discuss if umeishiwa hoja then have a good nightDemu mzuri afu unakunya kitu kinanuka vibaya mno..!
Hoja yako ni ipiTafiti ya kipuuzi kbsa hii
Kwa maana kikatia gogo kinakuwa kinauma au kimechoka kwa kazi ngumu, kwahiyo hupendi usumbufu?Nikitoka kukata gogo sipend kuongeleshwa, Huu utafiti wako umenigusa kiaina.
Unaweza ukawa na hoja kwa mada hiyo?Hoja yako ni ipi
Wewe kwa ufahamu wako unaelewa hoja maana yake ni nini?Unaweza ukawa na hoja kwa mada hiyo?
Kama ww unahoja kutokana na hyo mada basi hauko sawa.
Pole sana nyie ndyo wa kuenda kubadilishwa na ndege yetu mnajaza nafasi za watu kupumia vizuri bongoWewe kwa ufahamu wako unaelewa hoja maana yake ni nini?
kuna mdau mmoja hapo juu anasema hio hali inamtokea, kwaio hapa kuna suala la personality na mtu jinsi anavochukulia hali yake akiwa mahala fulani, au katika mazingira fulani, ni kama vile mtu mwingine hawezi kamwe kuingia mochwari au kushika jeneza..
sasa mtu unakurupuka kujibu tu "upuuzi bila hata kufikiria baadhi ya watanzania mnakurupuka ovyo ovyo tu you dont think and speak.
Your intelligence quotient is very lowPole sana nyie ndyo wa kuenda kubadilishwa na ndege yetu mnajaza nafasi za watu kupumia vizuri bongo
Hata ukiandika kireno akili zako chache mnoYour intelligence quotient is very low
it will be a disgrace to argue with you.