Wakinadada wengi wanapotoka kukata gogo hupoteza kujiamini na kumbukumbu

Wakinadada wengi wanapotoka kukata gogo hupoteza kujiamini na kumbukumbu

Habari wadau

katika utafiti niliofanya mdogo kwa kushirikisha wanawake wa rika zote kuanzia miaka 14 mpaka 45 katika katika mikoa ya arusha,kilimanjaro,mwanza na jiji lenu pendwa la dar es salaam,

Nimegundua wadada wengi wanapoingia/toka chooni kukata gogo hupoteza kujiamini na kuwa na wasiwasi mwingi na hupoteza kumbukumbu hata ukimuuliza swali dogo mfano ,dada hiki choo cha kike au kiume atakasirika na kumwaga matusi na asikupe jibu katika uchunguzi nilioufanya wa kutembelea vyoo vya public na vyoo vya nyumbani vyenye wapangaji wengi,na wenye kuishi familia ndani ya dakika kumi mtu anapoteza kumbukumbu

mpaka muda huu nawasilisha report yangu bado najiuliza kinachowatatiza wakina dada ni aibu ama kutojikubali

Karibuni sana wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh labda mi nahisi huwa wanakuwa puzzled kidogo,yaani anajiona jinsi alivyo mrembo halafu anakata gogo,nadhani
anakuwa haamini kilichotokea then baada ya muda inabidi tu ajikubali maana anakuja kugundua kuwa hamna jinsi,Na kingine ambacho hujagundua muangalie hata machoni,utaona anatoa macho kama anataka kukimbia hivi...
 
Demu mzuri afu unakunya kitu kinanuka vibaya mno..!
Kwanini unafikri ua president naye hafanyi hivyo. Ebu tafuta kitu chenye logic u discuss if umeishiwa hoja then have a good night
 
Huo utafiti umehusisha jamii zipi mkuu, wale wa tandale, daraja mbili, mbagala na kigogo, au wale wa Masaki, O'bey , Sakina na Njiro ambao kila mtoto na chumba chake self container
 
Nikitoka kukata gogo sipend kuongeleshwa, Huu utafiti wako umenigusa kiaina.
Kwa maana kikatia gogo kinakuwa kinauma au kimechoka kwa kazi ngumu, kwahiyo hupendi usumbufu?
 
Unaweza ukawa na hoja kwa mada hiyo?

Kama ww unahoja kutokana na hyo mada basi hauko sawa.
Wewe kwa ufahamu wako unaelewa hoja maana yake ni nini?
kuna mdau mmoja hapo juu anasema hio hali inamtokea, kwaio hapa kuna suala la personality na mtu jinsi anavochukulia hali yake akiwa mahala fulani, au katika mazingira fulani, ni kama vile mtu mwingine hawezi kamwe kuingia mochwari au kushika jeneza..
sasa mtu unakurupuka kujibu tu "upuuzi bila hata kufikiria baadhi ya watanzania mnakurupuka ovyo ovyo tu you dont think and speak.
 
Pole sana nyie ndyo wa kuenda kubadilishwa na ndege yetu mnajaza nafasi za watu kupumia vizuri bongo
 
Your intelligence quotient is very low
it will be a disgrace to argue with you.
Hata ukiandika kireno akili zako chache mno

Unafikiri kuandika kwa lugha iyo ndyo kipimo cha kuwa na IQ kubwa?

Hzo ni show off tu lakn kichwani uko mweupe sana
 
Back
Top Bottom