Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mawazo yako ni kama yangu,ila nimeona ni bora nipige chini najua madhara yake baadae
 
Hahahahaa na
Umeoa single mother mmelala lijamaa linapiga simu "Niko hapa Kilimanjaro hotel kesho naomba umlete mtoto nimuone"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Single mothers mtanisamehe sana
na inabidi umpe na nauli ya kwendea huko au umpeleke aisee changamoto sana mimi hapana
 
Hii inatokea pale kijana amepambana hadi kukata tamaa,mwisho wa siku anaangukia kwenye penzi la 'single mother' ambao tayari wameshakuwa na uzoefu wa ku-'handle' mtu mwenye 'stress' ili naye aweze kunufaika.Na hawa wanajua kucheza na akili za muhusika ata kama ni domo zege.............atakutega tu na mwisho unapata kile ulichokuwa unakitafuta kwa muda mrefu,na mwisho wa siku unakuta umeingia kingi na kuoa....ila hizo huduma utapata kama salio linasoma tu.
 
Sioi hao kenge kabisa....yaan mwanaume mwenzako amembebesha mimba amezaa halafu nikaoe huyo mtu.....never....over my dead body(in mbowe's voice)
 
Huu uzi umetuchosha kwani single mother sio binadamu tena muwaache Mimi nimelelewa na single mother hii kejeli huwa siipendi kabisa.Pia shukuru Mungu umepata neema ya kuzaliwa ktk ndoa na sie tuliozaliwa na single muwaache kuwadiscuss kila siku huu uzi tu aiseh hivi ww nikuulize hawa single mother walijipa mimba wenyewe? Huwa mnazikataa na kuwashauri upuuzi wakituzaa mnawaona Wajinga. Pia mnajidai kwenda kuoa kwingine then ndoa zinawashinda mnarudi kuomba ushauri huku. Wanaume baadhi mna tabia za ajabu sana
 
Uliyefeli wewe unayetetea ujinga. Kwanini uzae kabla hujaolewa? Ulibakwa?

Anzisha uzi wako ueleze unavyoona sahihi. Eti sina elimu ya uzazi....unanijua mimi?
Mkuu wewe ni bad News.
So far uko sahihi sana tu.Hakuna uhalali wowote kidini na kimaadili katika kufanya uzinzi.
 
Naona hofu inataka kujengwa juu wanawake waogope kuzaa Bila ndoa , na hi itapelekeaa mimba nyingi kutolewa
Mkuu sio kujenga hofu.Hivyo ndivyo inapaswa kuwa.Nashangaa kuona unashindwa kuliona hili.
 
Uko sawa mkuu
 
akili mingi sana wewe
 
Naunga mkono hoja 100%.
 
Mbona kama ume panic hivi??
Hebu tulia kwanza twende taratibu.... Ni nini kimekusibu?
Atakuwa kaachwa na single mother,
Maana single mother wengi akiona huna dalili za kumuoa lazma akuteme wanahasira na ndoa!
Sasa jamaa anakumbuka ule utamu, Ukweli single mother niwatamu Sana kitandani kuliko hivi vichuchu saa6, " K "zao zinakuwa bado hazijaachia utamu wa kutosha
 
Kuhusu neno ulijari nikusahihishe kidogo
Lkn anyway acha niache maana umeamua kutudhihirishia ujinga wako ulioupa jina la ujuaji,
Vipi kwa mwanaume aliyepata mtoto kabla ya kuoa nae vipi,
Hili ni swali tusi nimekupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…