Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Woyooooooooooo kunywa soda Mahali ulipoo ntakulipiaaaaNakwenda kumuoa single mother wangu simuchi ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
haipo sababu ya kuoa single mom, wazazi hawapendi hata sisi wanaume wa ukweli hatupendi labda kwa limbwataHabari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Ila single mother aisee wana changamoto sana. Mimi nilipotezewa kwa muda mrefu alikuwa hana hata habari na mimi. Nikaona its OK kwa sababu maisha ni yake na maamuzi ni yake. Baada ya miaka kupita nikakutana naye tena. Nipo cool tu na kila mtu na wala sina chuki, akaniletea tena mazoea na hatimaye akanitongoza na kuniambia ananipenda kwa dhati.
Kidume nikaona huyu binti aje mbona imekuwa kwa ghafla hivyo. Baadae kuja kugundua kumbe tayari ameshazalishwa na mshikaji ambaye alimfanya hawezi kunifikiria mimi. Nikajifikiria nikasema huyu binti ananifanya Mimi ni mjinga(?)
Akatoa samahani nyingi na machozi ya hapa na pale na ahadi lukuki kwamba atakuwa muaminifu kwangu. Nikaona siyo mbaya nitabeba majukumu. Kwa ghafla jamaa aliyemzalisha akasema anataka arudi wayamalize kwa wazazi, naye anataka kumlea na kumuona mtoto wake. Drama zikaendelea mwisho wa siku nami nikawa miongoni mwa hiyo drama yao. Baadaye hizo issue na jamaa yake mara Maza wa jamaa aliyemzalisha anapiga simu kuhusu mjukuu wake. Nikaona daaaamn! Jamaa mara anamsumbua binti anampigia pigia simu anatumia kigezo mtoto wake. Mara mama wa huyo mshikaji anataka kumuona mjukuu.
Nikamwambia mama lengo langu na ahadi zangu zilikuwa na nia njema lakini hii hali kadri inavyozidi kwenda inaniumiza sana. Hii drama nayo inaonekana ni endelevu na moyo wangu sidhani kama utakuwa na uwezo wa kuvumulia hiyo mikiki. Nikamwambia tuachane. Alining'ang'ania sana, binafsi nikamwambia siwezi.
Tangu niachane naye mpaka sasa hivi yapata ni miezi 7. Nilimpenda lakini hiyo mikiki yake kiukweli hapana. Ila yeye mpaka sasa hivi ananipigia simu na kunitumia msg. Sijibu chochote katika hivyo na wala sijam' block.
Woyooooooooooo kunywa soda Mahali ulipoo ntakulipiaaaa
Woyooooooooooo kunywa soda Mahali ulipoo ntakulipiaaaa
Ndiyo nilikuwa nataka kumfanya awe mke lakini ndugu yangu dah! Yaani hayo mambo yalikuwa yananivuruga mpaka kazini.Huyo jamaa anayemsumbua sumbua mkeo kumfyekelea mbali ulisubili nini wacga atangulie mbele za haki
Unaanza mechi kama ya leo eti NKana wana moja simba bila hiyo match gani sasa au dhuluma.haipo sababu ya kuoa single mom, wazazi hawapendi hata sisi wanaume wa ukweli hatupendi labda kwa limbwata
ukiona umezalishwa bila kuolewa utaendelea kupigwa miti na masela mpaka kine..e kisinyae
SINGLE MAZA WA TAMU SANA. ILA UBAYA UPATE KILAZA BWANA WEE UTAJUTA, awe muongo awe bado anauhusiano wa karibu na jamaa yake, awe na hurumaa, msiri, dhaaa mada safi sana
Kuoa hao utakumbana na changamoto kubwa sana. Mimi nina uzoefu na kadhia zao. Kwa sababu kampani yangu wengi ni watu wazima na huwa nawaomba ushauri katika baadhi ya mambo. Niliwaomba ushauri kuhusu huyo singo mama, aisee! Walishituka kwanza wakaniambia "Kijana usijifanye mwema sana utaumia, Dunia ya Leo kwa mazingira tunayoishi nayo ni tofauti na sisi(Wazee) tuliyotoka nayo"Kuwala tu sawa, siyo kuoa..!
Kuoa hao utakumbana na changamoto kubwa sana. Mimi nina uzoefu na kadhia zao. Kwa sababu kampani yangu wengi ni watu wazima na huwa nawaomba ushauri katika baadhi ya mambo. Niliwaomba ushauri kuhusu huyo singo mama, aisee! Walishituka kwanza wakaniambia "Kijana usijifanye mwema sana utaumia, Dunia ya Leo kwa mazingira tunayoishi nayo ni tofauti na sisi(Wazee) tuliyotoka nayo"
Wakaniambia achana nao hao masingo mama. Kiukweli nilikiona mwenyewe na nikaachana naye.
Kiukweli nilikuwa naingiza mtaji kwenye biashara kichaa.Hivi match inaanzaje team pinzani inaongoza moja bila..??
Umenena vema mkuuNIMESOMA KWA UMAKINI NA NIMEGUNDUA KAMA KUNA MADHARA YA MOJA KWA MOJA ULIYOYAPATA KUTONA NA SINGLE MOTHERS.
NA INAONEKANA MADHARA HAYO UMEYAPATA MUDA SI MREFU (HUENDA LEO AU JANA)
UNGEKAA UTULIE KWANZA, UNGEKUJA NA VIEW POINT YENYE STAHA KIDOGO.
KUNAMAHALI UMEGUSA MAONO (HISIA ZAKO) HASA, NA SI MANUFAA YA WOTE KAMA SIKOSEI.
RAI.
MWANAMKE SI RAHISI KUMUELEWA.
LAKINI WANAWAKE, SISI WANAUME TUNAWAPA WAKATI MGUMU SANA. USIWALAUMU.
UKILAANI HAWA SINGLE MOTHERS UNAHALALISHA ABORTION AU DHAMBI KAMA HIYO.
HUENDA KWA BAHATI NZURI AU MBAYA UJAUZITO UMESHIKA. AFANYEJE?
ANAKUWA DILEMA JUU YA MAAMUZI YA AU KUZAA AU KUTOA KIMYA KIMYA.
HAO WANAOTOA KIMYAKIMYA NDIYO HUENDA UNAMAANISHA
KUWA WAPO CARE.
LONG STORY SHORT,
JAMII ZA LEO MAMBO MENGI WANAIGA KWA WASANII, MA- SUPER STAR N.K
DADA ZETU WANAMUONA ZARI ZE BOSS LEDI, GIGY, IRENE, NA WATU KAMA AKINA R.I.P MASOGANGE NK, WAMEKUWA SINGLE MOTHERS,
WANAWEZA KUIGA KAMA WANAVYOIGA MAMBO MENGINE KUTOKA KWA WATU HAO,
KWA KUSEMA MBONA FULANI NI MAARUFU NA NI SINGLE MOM,
UNAJUA WATU WANGAPI WANAMUIGA WEMA (SAUTI) KUONGEA?? LESAON?
ANYWAY, MIMI SIO MJUAJI TUNAJARIBU KUCHANGIA HOJA YAKO NA NAAMINI WAKATI UNAPOSTI HUKUTEGEMEA KUUNGWA MKONO % ZOTE.
KWA TATHIMINI BINAFSI ISYIO NA UTAFITI, 40%- 550% INNTHE WORLD NI SINGLE MOTHERS,
NA KISABABISHI NI SISI (MEN)
BE WARE OF YOUR WORDS,,
UTAZAA WATOTO WA KIKE NA KIUME.
Sincerely, Foolmzuri.
NIMESOMA KWA UMAKINI NA NIMEGUNDUA KAMA KUNA MADHARA YA MOJA KWA MOJA ULIYOYAPATA KUTONA NA SINGLE MOTHERS.

wanawake wengi wa mjini ni single mother sema hawakunyonyesha. tena bora hao unaowaona wanamtoto mmoja au wawili wako salama kwa kuwa waliogopa kutoa mimba kuliko hawa unaowaona hawajaolewa na hawana watoto wakati muda ushapita unajikuta ukioa mwanamke anakuwa na stress kwa kuwa wakati mwingine anawakumbuka watoto ambao hakunyonyesha.Habari zenu.
Nasema hivi. Mwanaume yeyote rijali hawezi kuoa mwanamke single mother. Ninaposema single mother namaanisha wewe mwanamke uliyezaa kabla ya kuolewa.
Na ninaposema rijali namaanisha mwanaume mwenye akili sawa sawa au bara bara anayefikiri kwa usahihi asiyeendeshwa na mihemko bali hutumia akili yake kutafakari mambo. Hii ina maana mwanaume chizi au mwenye ugonjwa wa akili sio rijali. Ili uwe rijali ni lazima uwe na akili timilifu. Ushahidi ni kwamba mwanaume hanithi anapungukiwa pia akili. (Sitaki kulizungumzia hili) na ukishapungukiwa akili wewe sio rijali.
Ukweli ni kwamba mama zetu ( sisi wanaume) wanafurahi zaidi kama utampa taarifa kuwa unamuowa bint ambaye hajawahi kuzaa. Achilia mbali bikra ambayo hata hivyo wanatamani uwaambie unamuowa bikra. Ni heri uwaambie unamuowa bint uliyezaa naye wewe mwenyewe mtoto wake wa kwanza kuliko kuwaambia wamama eti....eti...unamuowa Lilian single mother!!! Nyoyo husononeka ingawa hawawezi kusema wazi wazi. Utasikia tu mama akisema "Kama umempenda na mnapendana sawa" Tafakari sana haya maneno kijana unayetaka kumuowa single mother.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Jamaa akuzalishe huko halafu mi nije nikuoe? Acheni masihara nyie. Mi hakuna niliyemzalisha bila ndoa nikampiga chini sina sababu ya kuowa single mother.
Na wewe single mother uliyekaa chini ukaona ulikosea wapi na sasa umekuwa RAIA mwema, good luck. Ukimpata anayeeleweka mwambie akuoe. Kijana haukatazwi kuoa single mother. Ukimpata oa......yajayo ni yako.
Hakuna mwanaume RIJALI anayeweza kuowa single mother, kwa sababu za kimaadili. Period.
Meraki
Naowa bikra.wanawake wengi wa mjini ni single mother sema hawakunyonyesha. tena bora hao unaowaona wanamtoto mmoja au wawili wako salama kwa kuwa waliogopa kutoa mimba kuliko hawa unaowaona hawajaolewa na hawana watoto wakati muda ushapita unajikuta ukioa mwanamke anakuwa na stress kwa kuwa wakati mwingine anawakumbuka watoto ambao hakunyonyesha.
yuko rafiki yangu alioa bikira kwa ndoa ya kikatoliki kabisa lakini siku mwanamke alipojaribu nje mwanamke hakuwa tayari kurudi ndani. jamaa kalilia ndoa kwa miaka 10 ikashindikana ikabidi askofu akubali ivunjwe.Naowa bikra.