Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Una roho ngumu hivi mtu unawezaje kula mwanamke aliyezalishwa na nwanaume mwenzio wakati fresh product zipo,,Single mum ninawaogopa kinoma aise,,wengi wao ni kama nyoka aliyejeruhiwa,,Akikukuta njian lazima akujeruhiii,,,,Na nyie mnaojifanya fresh huku papuchiii zimetumika hata Test hazina!!

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Etii fresh product,
 
Kama hutaki kuwa na mawasiliano nae wala kuonana nae vipi kuhusu Mtoto atakayezaliwa?
 
Ni mwezi mmoja sasa tangu nimekutana na huyo single mom,mwanzoni nilimwona kama ana adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kilipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,

Sent using Jamii Forums mobile app
Siti ya katikati kwenye hichi kikao nkingoja public speakers kuhutubia umati huu wa leo kabisa[emoji575][emoji575][emoji575][emoji575]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwezi mmoja sasa tangu nimekutana na huyo single mom,mwanzoni nilimwona kama ana adabu,anauvumilivu na heshima nikaamua kujitosa,hana kaz yeyote ya kujiingizia kipato,kidume kilipiga mimba kikasepa! Sasa analea mwenyewe.Kwa kipindi hiki kifupi nimegundua anakiburi,ni mbishi na anajifanya anajua kila kitu.Nilikua namuhudumia kwa kila kitu naye ananipa gegedo.Jicho langu la tatu limeona napoteza muda bora nipige chini na nisonge mbele! Sasa anakuja na gia kua anaujauzito wangu na anataka kutoa,nikimuuliza umepima wapi na lini hataki kusema,nimemwambia kama ipo kwel asitoe ntalea ikithibitika kama ni kwel n dam yangu,mana najua kuna vipimo vya DNA.Anachong'ang'ania ni kwamba tuende hosp.au nikutane nae mahal tuyamalize!! Sasa cjui tuyamalize vipi! Nimemblock lkn bado anatumia sim zengine kunitafuta.Anapiga sim na kutuma msg kama chiz! [emoji3][emoji3][emoji3].Nimejaribu kumdanganya nimerudiana na mke wangu lkn anasema anataka kuja kufanya fujo.Nahis atakua na matatizo ya akil[emoji16][emoji16][emoji16] au ameniona mshua kwa misimbaz nlokua nantupia mara kwa mara.Kiufupi simtaki tena n pasua kichwa.Je? wadau,watu wa dizai hii hua mnafanyaje ili mpotezeane! Mana huyu hasikiiiiii..,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchimba kisima hutumbukia mwenyewe
Mchumia Janga hula na wa kwao.
ID yako "spark" imesababisha mlipuko

Pambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie muangaliege mtu unajua fika kuwa huyu mwanamke sina future nae lakini mnaachia mastyle na mautamu kama yote unafikiri mtu ataacha kung'ang'ania

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa Aisee "..... sometimes lazima ufanye kwa sababu una mchukulia kama mwanamke wa kufanyia rehearsal .... ili ukienda kwenye performance yenyewe sasa dhidi ya mwanamke unaye mpendq usije kutoa Boko/kuuza mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom