Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mke kumhudumia namuhudumia but nayeye lazma anipe huduma stahiki hilo la kufanya kazi ni option yake. But haliingiliani na huduma anazotakiwa kunipa
Sasa si umesema hautaki mwanamke masikini kwa maana hiyo ni kwamba unataka anayetafuta pesa sasa utasemaje tena yeye kufanya kazi ni option?
 
Wanawake jeuri sana sikuhizi
Mchague moja kati ya haya mawili kubadilisha mitazamo yenu iendane na dunia ya sasa au kuendelea kujikumbushia namna mama zetu na bibi zetu walivyoishi na baba zetu na babu zetu kitu ambacho kwa sasa ni historia

Haya mabadiliko hakutokeza tu mtu mmoja akajiamulia tu kwamba kuanzia sasa maisha yaanze kuwa hivi bali ni dunia yenyewe kadiri inavyozidi kuzunguka ndivyo na viumbe vilivyomo vinazidi kubadilika sasa wanaume hasa wakiafrika mko tayari kubadilika kwenye nyanja nyingine zote ila hamko tayari kubadilika kwenye mapenzi

Mnataka tuendelee maisha yale yale ya zamani ambayo wanaume kazi yao ilikuwa wa kwenda vilabuni na kushinda wanakunywa pombe kuanzia asubuhi hadi jioni na wanawake kazi yao ilikuwa kwenda shambani kufanya kazi zote za nyumbani na kulea familia halafu bado mke akikosea kidogo tu anapigwa hadi viboko kama mtoto mdogo ila mume akikosea hakuna anayemuadhibu na mke wake ndo kwanza anaambiwa amvumilie tu

Hivi kweli kwa fikira tu za kawaida za kibinadamu huo mgawanyo wa majukumu na hayo maisha unaona ni sawa kweli? Usiseme eti mbona waliishi vizuri tu na ndoa zilidumu bila kujua hao wanawake mioyoni mwao walikuwa wanajisikiaje kuishi maisha hayo ukizingatia zama hizo wanawake hawakuwa na sauti wala uhuru wa kujieleza hivyo hawakuweza kupinga chochote walichoambiwa na waume zao

Na nilishakutolea mifano ya baadhi ya mabibi ambao niliwahi kukaa nao na wakawa wanaulaani ule mfumo ambao wao waliishi niamini mimi hata wewe ungekuwa mwanamke ungeupinga huo mfumo na hata mimi ningekuwa mwanaume ningetaka huo mfumo uendelee kwa sababu gani?

Kwa sababu huo mfumo unawafaidisha wanaume na kwa sababu unawafaidisha nyie basi hamtaki upotee na wakati mnajua kabisa huo mfumo unawakandamiza wanawake ila hamjali kwa sababu maumivu yao hayawahusu kwa vile ninyi ni wanaume jamani eleweni kuwa mfumo dume siyo lazima kwamba mwanamke apate mateso na awe mtumwa wa mwanaume

Tunaweza tukawa kwenye mfumo dume na bado jinsia zote zikafurahia mapenzi kwa sababu hata na sisi wanawake ni binadamu na hatupendi kuonewa wala kunyanyaswa bali na sisi tunahitaji kufurahia mapenzi kama wanaume ila wanaume mnaona kama hilo haliwezekani sasa wewe fikiria zamani wanawake hawakutakiwa hata kufurahia tendo la ndoa ndo maana walikuwa wanakeketwa

Mnatakiwa muelewe kuwa kwenye jamii nyingi za afrika wanaume walifanya juu chini kuhakikisha hii dunia ni mbinguni kwa wanaume na ni motoni kwa wanawake basi ndo dunia imeshabadilika sasa na hakuna namna zaidi ya kukubaliana na mabadiliko tu na huu mfumo wa sasa tumezaliwa tumeukuta tutauacha na chochote utakachokikuta duniani katika kipindi cha uhai wako hauna budi kukifuata na kukiacha kama kilivyo ni muda tu ndo unaamua mabadiliko
 
Mistakes happen, coz wanawake ndio wanabeba mimba na kubaki na watoto ndio wananyoshewa vidole!! Loyalty ni suala la mtu,awe na mtoto au asiwe nae!!
 
That's why kunaongezeko kubwa sana la ma single mummy kwasababu Mnataka kubadili sheria ya Allah ndo mana adhabu mnayopata ni kuwachien tu muishi aina ya maisha ya Aibu katika jamii
 
Usawa wa kijinsia, ongezeko la wanawake wasomi na wanaoweza kutengeneza kipato binafsi umetikisa mihimili ya mahusiano na ndoa kwa ujumla...kudai usawa katika kila jambo ndio shida inapotokea, wanawake wakitambua nn wanatakiwa kufanya na mipaka yao,na wanaume pia tunaweza kuendana na mabadiliko yaliyopo sasa!!
 
Wiyj
With due respect i beg to differ
Single mothers are single by choice. They are never a victim.
Sio sahihi kabisa..not their choices,Kuna factors nyingi sana!! Kuna watoto wa sekondari(wanadanganywa), kutokua na elimu ya afya ya uzazi( namna ya kujilinda), Kuna wanaobakwa!! Na atlast, sio wa kulaumiwa!!
 
That's why kunaongezeko kubwa sana la ma single mummy kwasababu Mnataka kubadili sheria ya Allah ndo mana adhabu mnayopata ni kuwachien tu muishi aina ya maisha ya Aibu katika jamii
Kwahiyo Allah ndo anapenda wanaume tu ndo wafurahi na wanawake ndo wateseke kwenye ndoa si ndiyo?
 
Chanzo cha wanawake kutaka kujitafutia vipato vyao ni wanaume ambao wanawaonea na wanawanyanyasa wake zao eti kwa sababu tu wake zao wanawategemea wao kwa kila kitu hivyo wanawafanyia hivyo wakijua hawana pa kwenda

Sasa mlitaka wanawake wa aina hiyo waendelee kuteseka hadi lini laiti kama wanaume wangekuwa wanahudumia vizuri wake zao bila matatizo yoyote hakuna mwanamke ambaye angetaka kujitafutia kipato chake mwenyewe kwahiyo huu mfumo wa wanawake kutaka haki sawa chanzo ni wanaume
 
Ewe kijana wakiume jitahd sana usijeangukia mikonon mwa single mumy (used woman) utajuta....jiulize tu aliemzalisha kwann asimuoeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Bro haina maana mwanamke akizalishwa na kuachwa ni tatizo au used
hivi ushawahi kujua kwanini watu wanaachika katika ndoa na hawakuwa masingle other?

Ila unaishi kwa kukariri mno anyway
utakuja siku kuomba ushauri hapa, karibu sana katika ulimwengu wa wakubwa siku ukija kuwa mkubwa
 
Wanawake weng wanaoachika ni wale wanaotaka 50/50 kwa waume zao kitu ambacho Allah mwnyw hajakihalalisha hvyo so kifuatacho ni adhab toka kwa Allah mwnyw...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wanawake weng wanaoachika ni wale wanaotaka 50/50 kwa waume zao kitu ambacho Allah mwnyw hajakihalalisha hvyo so kifuatacho ni adhab toka kwa Allah mwnyw...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Unaongelea matatizo ambayo kila mtu anayo
hakuna mwanaume ama mwanamke aliyekamilika

mnapooana nijukumu lenu kukamirishana, kila mmoja anawajibu wakuziba pengo kwa mwenzake
sasa kama unawa wewe utakuja kuoa malaika ndio mnaosababisha ndoa kuwa na majanga mnoo,

Ila usijari ukiwa mkubwa utaelewa uhalisia ulivyo
 
Kutaka kwenu 50/50 ndo kunatufanya cc tuwaache na mikelele yenu mbaki mnaoza tuuu mambo ya haki sawa waachien wazungu ambao wanaishi ndoa za majaribio.....Allah anasema mwanamke awe chini ya mwanaume so mkijfanya wabsh nikuwa single mother tuuuuu
 
Nazungumzia zaid hawa tunaowaonja wenye viherehere vyakubeba mimba b4 marriage......ujue mwanamke kama hajazaa huwa kama tango liliotoka kuvunwa then akishazaa huwa kama tango lililolazwa kwenye frij jins linavorojoka so m2 making akiambiwa achague tango unafikir atachagua tango lip kat ya hate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…