Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hata usemeje. Aliekuzalisha ndio akuoe. Kama baba wa mtoto yupo hai huyo single maza ni wa kukaa nae mbali sana. Hata salam usimpe
Kuoa single mother kuna faida kuu mbili, ya kwanza unatambua fika kwamba si tasa na kama ikitokea ukashindwa kupata mtoto basi tatizo lipo kwako,pili ikiwa hutafanikiwa kuzaa naye huyo mwana mlee atakusetiri kwa kuwa kitanda hakizai haramu! Asante!
 
Binafsi niliwahi kukutana na Dada mmoja kuna vitu alinieleza nikabaki nashangaa. Ila amini nakwambia wengi wao huamua kutafuta mtoto kama faraja kwako, Maana hujitunza mno lakini hadi umri unasoma alama ya hatari bila mafanikio ya ndoa ndo maana huona bora asikoswe vyote. Trust me mkuu shida ni sisi mabaharia hatupendi kuoa
 
Tatizo hakuna namna ya kuwajua wale waliochoropoa mimba. Hao ni single killers Kama alitoa mimba moja nk.
 
Watu wanataka tuishi kwa kukariri.

Yani mtu kashakariri kila single mom ni matokeo ya uasherati.

Wakati kuna wengine wajane wamefiwa na waume zao.
Aliyefiwa na mume akabaki analea mwenyewe haitwi single mother....yeye anaitwa single parent. Kwa ufafanuzi tu single mother ni aliyezaa nje ya ndoa na akabaki analea peke yake bila msaada wa mzazi mwingine lakini aliyeolewa akaachika au mume akafa huyu anaitwa single parent na watoto wanaolelewa na mzazi mmoja huu mfumo unaitwa single parenting
 
Unalazimisha.

Kwani anayezaa nje ya ndoa si mzazi?
 
Hafu usikute na maneno yote hayo ww mwenyewe single father maana ninavyo jua hakuna mimba isiyo na baba
 
Aiseee mleta uzi nimemuelewa sana sana maana. hili Jambo limenikumba nipo kwenye mahusiano na single mother ananifosi nimuoe lkn mm ndoto yangu nikuoa ambaye hajazaa pengine Kama nashukuru mkuu nitasimamia msimamo wangu japo sijawahi kumwambia ukweli
[/QUOTE]
 
Kuna single mothers wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa hawana watoto.

By the way.... Ni maisha yao. Waolewe wasiolewe.... Haiongezi wala kupunguza chochote katika maisha yako Kama mmoja wa Mabaharia wa nchi hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…