Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mambo yalianza kuharibika baada ya kuja kwa SIMU ZA MKONONI.

Yakazidi kuharibika baada ya Kuja kwa FACEBOOK...WASAP...IG N.K


zaman miaka ya 2000 kurudi nyuma SINGO MAMA WALIKUA WANAOLEWA SANA SANA TUU .

NA ASILIMIA KUBWA YA VIJANA WA LEO MIAKA 25------40 HAWA WAMO AMBAO NI MATOKEO YA WAZEE WETU KUOA SINGO MAMA.


KWANN ZAMAN ILIFANIKIWA???????

ZAMAN ,SINGO MAMA ANAOLEWA UPYA, HANA MAWASILIANO TENA ,HAMNA CHA SIMU WALA NN, NA ANAYEMUOA YUKO MBALI UKO!!! + MIIKO YETUYA WAZEEE.
Wanakuja kukutana Tayari mtoto ni mkubwaaa kabisa alabda yupo sekondar ...kimahesabu Singo mama huyu KIHESHIMA HAWEZ TENA KUPASHA KIPORO.



SASA SIKU IZI, MZEE, SIMU ZIMEKUA KERO, SINGO MAMA, AKIINGIA FB MARA PAAAA JAMAAA YAKE KAMUONA , LAZIMA LAZIMA WATAFUTANE..WASAP ,IG ..Kwaiyo mwisho wasiku mwanamke anaanza kurudisha hisia, tena kama yupo bado kwa umri wa 28---38 huyu nirahisi kupasha kipooro.



Kwa ufupi nikwamba... tusichanganye Singo mama wa miaka ya 2000 kurudi chini...

Na singo mama wa miaka ya 2000 hadi leo hii

Hawa wanatofautiana sana sana.


Kikubwa ni KUOMBA UPATE MWANAMKE MWENYE HOFU NA MUNGU !!!!
 
Nachoweza kuwapongeza singo mama
Ni Kutokutoa Mimba.


Lkn kuna wale ambao, wamekua singo mama kwa kutafuta wenyewe...hawa kiukweli nawambia wapambane nahali tu zaidi wabadilike na waachane nazile mambo zikizowafikisha hapo ili wawe wapya na wafae kua mama wa Familia.


Kuna hawa walokua singo mama, sababu ya Kidume kumdanganya, kumfukuza n.k ..hawa nawaambia usife.moyo, usikate tamaa haikua Fungu lako.


Lkn swali la msingi litabaki kua palepale bila kujalisha ni singo mama wa aina gan.... Je kupasha kiporo haitakuwepo???????.hasa kwa kizazi hiki cha leo, kinacholilia kukojozwa, kupigwa mikito yamaana, kusuguliwa kisawasawa, kunyonywa uchi, tigo n.k?????
Ikiwa wee muoaji hayo hayapati?????.



Sema nn, Nadhan tufike mahali tukubaliane na ukweli kua, "Mwanamke atabaki kua mwanamke ,awe kazaa au hajazaaa bado atabaki kua mdhaifu tuu".


Sisi ambao hatujaoa, wakuu ,tuomben sana ili tupate kilicho sahihi na kinachotufaa..

Kwa maana haiingii akilin, umeoa bikra, alafu unachapiwa sanaaa... Au umeoa, umemzalisha wee, lkn unachapiwa sanaaa???


Mambo ni mengi na magumu.
 
Kuna single mothers wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa hawana watoto.

By the way.... Ni maisha yao. Waolewe wasiolewe.... Haiongezi wala kupunguza chochote katika maisha yako Kama mmoja wa Mabaharia wa nchi hii....
Ni ushauri kwa wanaume wenzangu tu, nothing personal.
 
Kwani nani kasema ndoa ni taasisi ya huruma?

Kama watu wamekubaliana ndoa wao wawili, wewe nani uwawekee najisi?

Unaandika "single mama hawezi kukupenda jisi ulivyo" unajuaje hili?
Ndoa ni makubaliano. Kuhusu hii thread inategemea upeo wako, hicho tu ndicho nachoweza kusema kwa sasa.
 
Kauli yako imeonyesha jinsi gani ulivyo mjinga wa karne. Sina cha zaidi kwako, nimegundua jambo tayari.
 
Tatizo hakuna namna ya kuwajua wale waliochoropoa mimba. Hao ni single killers Kama alitoa mimba moja nk.
[emoji2][emoji2] single killers. Lakini the best altenative ni kuoa bikra, hapo takuwa salama
 
Iz Critical Analysis mkuu.
 
Ndoa ni makubaliano. Kuhusu hii thread inategemea upeo wako, hicho tu ndicho nachoweza kusema kwa sasa.
Sasa kama ndoa ni makubaliano, hii rubbish ya kuwatusi single mothers kama si watu ina logic gani?

Mtu akiamua kumuoa single mother wa tabia yoyote kwa makubaliano yao usiyoyajua, wewe unapungukiwa nini?

Unataka kuolewa wewe?
 
 
Mhh hatari sana.,Upande wa Single Fathers je!?
Unawazungumziaje vijana wanaochumbia ilhali wana watoto nje ya ndoa na mwanamke/wanawake wengine?
 
Aiseeee
 
Single mothers wamekuwa jalala la matusi ya kila aina nowadays. Mbona hawazungumzii single fathers au wanawake wanazaa na wakina nani? Leo wanasema watoto wa watu baadae watoto wao watasemwa vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…