Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hahahaha ndiyo yale niliyokuwa nayasemea mimi jana kwenye uzi fulani kwamba wanaume wanaokubali kuitwa mabaharia ni hawa vijana wahuni tu wa mtaani walioshindikana ila wanaume wanaojielewa hawawezi kukubali japo kuitwa tu mabaharia achilia mbali kujiita wenyewe hivyo
Sasa kijana ndioa anatakiwa alijue hili.

Mtu akitaka nimfanye kitu kibaya aniite BAHARIA.
 
Kwahiyo hata maandiko yanamruhusu mwanaume kuzaa nje ya ndoa si ndiyo??

Yaani wewe dada unamatatizo makubwa sana. Mada inazungumzia wanawake wasio na bikra wewe unaulizia upuuzi upuuzi wako.

Kama unataka kuelezea habari za wanaume waliofanya uhuni kwa kuzaa nje ya ndoa si uweke watu wajadili

Lakini kwa ujinga wako unauliza maswali ya kipuuzi puuzi yaliyonje ya mada. Yangekuwa maswali ya maana kama yangehusiana na Mada husika.

Akili yako ilivyo ndogo hujui hata maana ya bikra. Jambo ambalo hata mtoto mdogo wa miaka kumi tuu anajua.

Ati mwanaume naye ni bikra. Yaani kuna watu wanatia kinyaa jamani.
 
Oohh kwahiyo sasa utajuaje kama mwanamke alipata mimba kwa sababu ya kubakwa je kama alipewa mimba na mwanaume ila akatelekezwa?? Si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa??
 
Mkuu, mbona tunao ndugu, jamaa na marafiko wanaotuzunguka? Nawashangaa wanaonikasirikia utadhani mimi nimetoka EDENI kuumbwa, yaani sina ndugu wa kike. Nachofanya ni kuongea mambo magumu ambayo jamii inayakwepa kwa kutafuta visingizio.
Unachofanya ni kulazimisha lawama ziende upande mmoja kwa kosa lililofanywa na pande mbili na ndicho watu wanachopinga hapa hivyo haujaongea ukweli umeongea kihisia tu
 
Am into nobody's life maybe from your feeble judgment of my comments!! My responses are merely based on all possible premises of the discussed matter.
OMG, me wanting to know you?? Between me and you who wants to know the other?? Even most of your comments show that you are into people's real lives!
 
Mkuu hili la bikra limekaa vipi!?
Na mwanaume gani anastahili kupata binti bikra!?
Je ni wanaume wote!??

Naona umelishikilia Sana.


Tukirudi kwenye mada,,naona si busara Kum attack Marianah kwa maneno mabaya ,,unamwambia maswali yapo nje ya mada.
Kama Ni nje ya mada,hata wewe umeenda nje ya mada maana kwenye mada hakuna sehemu bikra imeongelewa.
 
Sio kusudio la mada hii. Muhimu tunzeni hadhi yenu. Tangu zamani ilikuwa hivi, ila ninyi dotcom ndio mnaleta ujuvi ambao baadaye unawaumiza ninyi wenyewe.
Kwahiyo wanaume wasilaumiwe kwa sababu tu matokeo hayawaumizi??
 
Inashangaza watu wanajivunia kujiita mabaharia.
Hii dunia wanaume wameisha kabisa...haya mengine yaliyobaki Ni mafurushi tu...Mungu tunusuru tusiyapate haya mafurushi(kwa sauti ya atoto)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ahaaaa haaaa haaaaa ... we jamaa ni mwehu. Sija disregard mawazo ya masingle moms bali nafikiri kuchukua mawazo yao pekee kama ground basis mtazamo wako lazima uwe bias coz wamekuibia.

Rudi kwenye original thread ... kwa asilimia kubwa ushambuzi wa mkuu una ukweli, ingawa mchungu.
 
Mbona hapa unaongea tofauti?? Wewe umesema single mothers siyo wanawake wa kuolewa lakini kiuhalisia kwenye jamii tunashuhudia na nina uhakika haipiti mwezi single mother hata mmoja hajaolewa na kati yao wapo wengi tu ambao ndoa zao zinadumu na lengo la ndoa si kudumu au??
 
Single mother ni hatar kwa afya hivi vtoto ni vitamu jemedari haogopi kushikwa hyo ni ajali kazini
 


Mkuu suala la bikra lipo kama unavyolielewa wewe labda utake kujipotosha kama Marianah.

Kuhusu mwanaume yupi anayestahili bikra. Ni hivi. Mwanaume yeyote anayejielewa anastahili Bikra. Lakini asiyejielewa huyo anastahili mwanamke yeyote. Awe na bikra au asiwe na bikra twende.

Kibiblia. Mwanaume yeyote mwenye Anayetaka kuwa kuhani, mchungaji anatakiwa aoe mwanamke bikra. Hii ni lazima. Kwa kuwa kuhani ni lazima awe mtakatifu. Hawezi kujinajisi na Ukahaba wa mke wake.

Nakuja na andiko kuhusu jambo hilo.

Kuhusu nje ya mada.
Mada hii inahusiana na bikra kwa minajili kwamba Kama watu wangekubali kuolewa wakiwa nazo pasingekuwa na suala la single mother.

Kumbuka mada hii ukiitazama imejikita kwa mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa na kujikuta kuwa amekuwa single mother.

Mada hii ukiisoma unaweza elewa kuwa singlr mother aliyefiwa na mume wake hapewi lawama. Pia single mother aliyetalakiwa na mume wake hapewi lawama.

Mada inajikita kuwalaumu single mother waliozaa kabla ya ndoa na kutelekezwa.
Ndio hapo suala la bikra lilipojitokeza.
 
Jombaa mbona unalazimisha watu wale maparage wakati umewakuta wanakula pilau?

Nenda kafungue uzi wenye hiyo title unayoitaka kisha tutakuja kuchangia.
 

Malaya maana yake ni nini?
 
Heshima kwenu single mothers mliokuwa na utu na kulea kiumbe maneno ya watoto wasiojua maisha yasiwakatishe tamaa wataoa mke bikra na kuchapiwa watachapiwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…