Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kabishi sana haka
Sana.. Mimi sitaki kubishana nae ndio maana nimemwacha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kabishi sana haka
Asante mkuu....Nakukubali sana mkuu
Umeongea points mkuu.
Ukioa single mother umeoa mke wa mwanaume mwenzako mda wowote anapasha kiporo
Inabidi wapumzike.Hii mada duu.
Nimefurahi sana namna ambavyo mpambano unaendelea hapa.
Tatizo washambuliaji ni wale wale[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sidhani Kama mada Ni bikra.
Mada Ni single mama.
Kama hutaki Marianah aulize maswali yake unayoyaita ya kipumbavu Basi hata wewe usiongelee bikra.
Lini hiyo?
Na kama wanapinga kipi cha ajabu? Mbona hata nyie hapa mnapinga?
Hahaha mama naona umesahau kuwa hawa watu ni perfect yani kila wanachofanya ni sahihi ila akifanya mwanamke ni kosa kubwa.
Umetoka nje ya mada.Bikra ndio mzizi wa mada.
Kuwaponda Single mother nakuacha wasio na bikra ni kutwanga maji kwenye kinu.
Au mkuu wewe sio single Mother lakini hauna bikra ndio maana unataka suala la bikra lisizungumziwe.
Mada inahusu wanawake wazinzi.
Baadaye tutajadili wanaume wazinzi pia kwenye mada yao. Hao wajiitao mabaharia.
Hasa Lizarazu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi hatupingi ila tunajaribu kuwafumbua macho kuwa tatizo lipo pande zote mbili na siyo upande mmoja ila ninyi ndiyo mnalazimisha tatizo liwe upande mmoja
Hawawezi kumtoa lizarazu.Inabidi wapumzike.
Jamani half time imefika..
Tubadilishe wachezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu atolewe...amechoka
Lizarazu Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha nilijua tu lazima utatia neno
Basi tuwatoe wote...tuingie sisi.Hawawezi kumtoa lizarazu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ni sawa na kumtoa Marianna.
Haujui hata unachokiandika...!!Ahaaaa haaaa haaaaa ... we jamaa ni mwehu. Sija disregard mawazo ya masingle moms bali nafikiri kuchukua mawazo yao pekee kama ground basis mtazamo wako lazima uwe bias coz wamekuibia.
Rudi kwenye original thread ... kwa asilimia kubwa ushambuzi wa mkuu una ukweli, ingawa mchungu.
Malaya ni mwanaume au mwanamke anayefanya uzinzi.
Mkuu kupashiwa kiporo kupo hata kwa mwanamke asiye single mother
Haujui hata unachokiandika...!!
StereotypingMwenye ndoa ni mwanamume, ndiye anayeoa. Yeye ni mtafutaji na mlishaji tu, ila mama ndiye mwenye connection na mtoto, ndio maana hata akiwa na wake watano kila mmoja akawa na watoto, ubaguzi utafanywa na wanawake, sio mwanamume.
Mwanamke akiolewa huku ana mtoto atamtunza, mwanamume akioa huku ana mtoto mama atajaribu kumtunza mpaka pale tu atakapopata mtoto kwa mume yule. Hapo mtoto rasmiatakuwa wa kambo na litakuwa tangazo la vita ndani ya familia.
Hivyo huwezi kumlinganisha mwanamke na mwanamume kwenye eneo hilo, ni sawa na wajinga wanavyosema eti mume akitembea nje ya ndoa yeye anafungulia mbwa, huu ni ujinga wa kutoelewa tofauti ya kiasili kati ya mwanamke na mwanamume.
Marianah anacheza namba moja na lizarazu.Basi tuwatoe wote...tuingie sisi.
Naona Lizarazu Ni kiungo mkabaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo ndivyo watakavyochukuliwa na kina nani?? Hilo ndiyo swali la msingi!!
Sawa.Ah kwa leo naomba tusije kuhamia kwenye dini tafadhali sitaki kabisa kuingia huko huu uzi utafika comments 1000 sasa hivi kama ule wa siku ile kwa mabishano ya dini tu halafu tutakuwa tumetoka nje ya mada