Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Anahaki lakini nimemwambia aanzishe mada inayohusu ya wanaume wahuni ataona tukija kuchambua bila hofu. Mada hii ni wanawake.
Sasa mbona unaita maswali ya kijinga Kama unajua ana Haki!?
Umeona jinsi haya mambo yanavyoenda sambamba!?
 
Mkuu suala la bikra lipo kama unavyolielewa wewe labda utake kujipotosha kama Marianah.

Kuhusu mwanaume yupi anayestahili bikra. Ni hivi. Mwanaume yeyote anayejielewa anastahili Bikra. Lakini asiyejielewa huyo anastahili mwanamke yeyote. Awe na bikra au asiwe na bikra twende.

Kibiblia. Mwanaume yeyote mwenye Anayetaka kuwa kuhani, mchungaji anatakiwa aoe mwanamke bikra. Hii ni lazima. Kwa kuwa kuhani ni lazima awe mtakatifu. Hawezi kujinajisi na Ukahaba wa mke wake.

Nakuja na andiko kuhusu jambo hilo.

Kuhusu nje ya mada.
Mada hii inahusiana na bikra kwa minajili kwamba Kama watu wangekubali kuolewa wakiwa nazo pasingekuwa na suala la single mother.

Kumbuka mada hii ukiitazama imejikita kwa mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa na kujikuta kuwa amekuwa single mother.

Mada hii ukiisoma unaweza elewa kuwa singlr mother aliyefiwa na mume wake hapewi lawama. Pia single mother aliyetalakiwa na mume wake hapewi lawama.

Mada inajikita kuwalaumu single mother waliozaa kabla ya ndoa na kutelekezwa.
Ndio hapo suala la bikra lilipojitokeza.
Kwahiyo mwanamke aliyezaa bila ndoa kwa kubakwa au akaja kufiwa na mumewe utamjuaje?? Kwani si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa au mume wake alifariki?? Mnavyojisifia kuwa wanaume hamtumii hisia mnatumia akili sasa hizo akili sijui mnatumia wapi kama mnashindwa kuzitumia hata kwenye vitu vidogo kama hivi!! Nonsense tumieni tu hisia maana hata akili zimeshawashinda!!
 
Ngoja siku nitulie niandike mwenyewe huo uzi halafu nione michango ya wanaume itakuwaje and I will prove to you wanaume wengi mnachofikiria vichwani mwenu
Jombaa mbona unalazimisha watu wale maparage wakati umewakuta wanakula pilau?

Nenda kafungue uzi wenye hiyo title unayoitaka kisha tutakuja kuchangia.
 
Marianah uko poa? Naona tumeamkia kujibu hoja za mijadala inayowanyanayasa karibu tuendeleze mpambano.....
Niko poa mkuu shukrani nikukaribishe wewe tuendeleze mpambano maana mimi nimeanza muda mrefu ila nikutahadharishe tu jiandae kuitwa FEMINIST
 
Kwahiyo mwanamke aliyezaa bila ndoa kwa kubakwa au akaja kufiwa na mumewe utamjuaje?? Kwani si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa au mume wake alifariki?? Mnavyojisifia kuwa wanaume hamtumii hisia mnatumia akili sasa hizo akili sijui mnatumia wapi kama mnashindwa kuzitumia hata kwenye vitu vidogo kama hivi!! Nonsense tumieni tu hisia maana hata akili zimeshawashinda!!


Mkuu leo umekamatika hapa. Sijui utatukia tawi gani. Maana ni kama mgonjwa wa dege dege.

Sasa kwa akili yako Kesi za ubakaji hapa nchini ni ngapi. Haya tufanywe umeniambia umebakwa. Hivi kwa akili yako mtu aliyebakwa si kunakuwa na kesi iwe ni mahakamani au polisi?

Tufanywe ulibakwa na mtu wa karibu unayekaa naye akakutishia usiseme. Hivi unadhani utaongea mambo hayo kirahisi rahisi ikiwa ni uongo na sisi wanaume tusijue.
 
Ahaa haaaa haaaa ... Joka acha uoga!


Hakuna uoga hapo. Huo ndio ukweli watu eanaoogopa kuusema.

Huoni wanaume wengine wanavyojificha huku.

Mtu akiwa malaya aitwe malaya. Mtu akiwa shoga aitwe shoga. Hakuna kuremba.

Hata ni mke wangu akinikuta nafanya upuuzi sitamlaumu wala kumzuia asinitaje kwa majina yanayofanana na tabia yangu mbaya.
 
Heaven Sent comment yake iko so impartial na objective.

Yaani imelenga kila mahali bila kufunika funika madosari ya jinsia yoyote, tofauti na nyie wengine ambao tangu mnaanza kuchangia mada hii mna one-dimensional perspective.
Basi ni aidha hautuelewi au hautaki kutuelewa hakuna aliyetetea wanawake kuzaa bila ndoa ila tunachosema ni kwamba kwanini tendo linalohusisha jinsia mbili lawama ziende kwa jinsia moja eti kwa sababu tu jinsia moja ndiyo inaumia zaidi nyingine haiumii?? Tukiwaambia hivyo mnasema mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume wakati hapa sisi tunajaribu kukemea maovu kwa jinsia zote kwa sababu tukishikia bango jinsia moja jinsia nyingine itajiona haina hatia na haihusiki kabisa kitu ambacho siyo kweli!!
 
Na mimi nimekujibu kwa hoja, hii mada inaongelea mienendo ya single mother anapokuwa ndoani na mwanaume ambaye si baba mtoto wake. Hivyo inategemewa ukija na michango yako itakuwa na mantiki sawia na kiini cha mada yenyewe.

Sasa wewe aidha kwa ujuaji wako au huruma ya single mothers unaanza tena kuleta habari za kubadilisha title ya mada!? Kwanini usifungue na wewe uzi wako ukiongelea hicho unachokitaka halafu tuje tuchangie pasipo kutoka nje ya mada?
Wanajamvi watanisaidia labda kama nina shida kwenye uelewa wangu au la...... tunachojadili ni hii mada. lakini upande wangu siafikiani asilimia zote na mtoa mada mosi, kuwa single mothers wote wana matatizo waingiapo kwenye ndoa zao na akichagiza wanaume wasithubutu kuwaoa. tena anaenda mbali zaidi akisema wanawake wanaostahili kuolewa ni wale bikra tu. Pili natoa mtizamo wangu mpana kuwa si single mothers tu waingiapo kwenye ndoa ndo huwa na matatizo ya kurudia mahusiano na wazazi wenzao bali pia hata wanaume waliobahatika kupata watoto na baadae kuoa wanawake wengine huwa na matatizo kama hayo pia japo nao si wote.

Lakini kwenye mijadala hutokea watu wakaunga mkono moja kwa moja mada iliyopo mezani.....kitaaluma hawazuiliwi. lakini pia wapo ambao huikataa mada moja kwa moja kwa hoja zao walizotoa nao hukubaliwa. na mwisho huwa kuna upande wenye kufanya ulinganisho wa mada husika na nyinginezo/upande wa pili na hatimae hutoa pendekezo au ushauri juu ya mapungufu yaliyomo kwenye hiyo mada hili nalo linakubalika.

Sasa wewe mkuu unaweza kunifunza ni namna gani ya kujadili mada mbalimbali tukianzia na hizi za jukwaa hili. Sijawahi kuacha kujifunza mkuu.
 
Malizia na uasherati na kwa jibu hilo basi hata wewe ni malaya


Kama nafanya hayo ni kweli nitakuwa malaya.

Sasa nashangaa wewe unafanya uzinzi alafu ukiitwa Malaya unapasuka kama Pareto.

Ukitaka usiitwe mlevi acha pombe.
Ukitaka usiitwe mwizi acha wizi.
Ukitaka usiitwe malaya acha uzinzi.

Sasa mtu ametoa bikra kwa umalaya wake alafu akiambiwa ukweli anaviimba. Huo ni upuuzi.

Hayo ndio maisha Marianah. Ukitaka upewe heshima linda vya heshima. Ukitaka upewe majina ya matusi basi haribu vitu vya heshima.
 
Una uhakika anafanya umalaya!?
Kumbe unajua wazi hiyo sifa ya umalaya si yako bali amekubambikia tu...
Sasa mbona wewe unalazimisha akubali kuwa Ni Malaya wakati sio?
Kama nafanya hayo ni kweli nitakuwa malaya.

Sasa nashangaa wewe unafanya uzinzi alafu ukiitwa Malaya unapasuka kama Pareto.

Ukitaka usiitwe mlevi acha pombe.
Ukitaka usiitwe mwizi acha wizi.
Ukitaka usiitwe malaya acha uzinzi.

Sasa mtu ametoa bikra kwa umalaya wake alafu akiambiwa ukweli anaviimba. Huo ni upuuzi.

Hayo ndio maisha Marianah. Ukitaka upewe heshima linda vya heshima. Ukitaka upewe majina ya matusi basi haribu vitu vya heshima.
 
Back
Top Bottom