Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jamaa ajaongelee kutulia .. single mother yeye maisha yake yote anampigania mwanae iliamsaidie kivyovyote .. nanikweli hata ukimtongoza single mother atakwambia ni na mtoto utaweza kumtunzaa ... hilo ndojibu la single mother wote dunia...
Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto

Acheni hizi stereo types za kishamba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi ningeacha kabisa kula na ninavyopenda kula sasa ila imagine Lizarazu asingecomment hapo ningeacha kabisa kula kuanzia leo hadi nakufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ningefunga mwezi mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi fahamu haya:

Mwanamke aliyezaa huhamishia mapenzi kwa mwanaye. Hali huwa hivyo hata ndani ya ndoa, kiasi kwamba ndoa nyingi hupoteza mvuto pale tu mtoto anapozaliwa. Kwako wewe kijana unayetaka kujitwika mabomu uoe single mother.

Mwanamke anatakiwa aolewe katika ubikira wake ili mwanamume kujisikia kwamba kweli amepata mtu mwaminifu. Lakini kama hata hilo halikutosha kukushawishi, usithubutu kuoa mwanamke ambaye ni single mama, labda kama una uvumilivu usiopimika. Yako mambo kadhaa ambayo yanamfanya single mama asiwe sehemu ya mtarajiwa wa ndoa.

1. Single mama wengi ni matokeo ya uzinzi ama uasherati. Binti anapojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa kwa kigezo cha kutafuta kuolewa ni dalili mbaya hata kama ataolewa kweli. Hii inaonyesha kuwa ana udhaifu kwenye eneo la ndoa kiasi kwamba yuko tayari kuutumia mwili wake kama rushwa ili kufanikisha ndoa. Hii haitofautiani na mwanamke aliye ndani ama nje ya ndoa kutumia tigo yake kama kishawishi cha kumshika mwanamume. Unapotumia ngono kama sehemu ya ushawishi, ama kama silaha ya kumteka mwanamume ujue kwamba unaondoa thamani yako na kuingia kwenye kundi la makahaba. Ni kweli uchi wa mwanamke ndio silaha yake kwenye mahusiano, lakini si kwa kuigawa hovyo, bali kwa kuwanyima wanaoitamani ili apatikane mwenye nia thabiti ya ndoa.

Inapotokea binti kajiingiza kwenye mapenzi mpaka kupata mimba, tayari keshapata muunganiko mwingine na mwanamume aliyempa mimba hiyo, tayari wameunganishwa na mtoto huyo, ingawa bado mwanamume aliona huyu mwanamke hafai kuwa mke, alikiwa anamtumia tu kukidhi kiu yake mpaka pale atakapompata mtu sahihi. Sasa wewe ni nani hata ukajiingize kuoa mwanamke wa aina hii?

2. Single mama hawezi kukupenda kwa jinsi ulivyo, bali kutakuwa na sharti la mtoto. Kwamba iwapo utamtunza mtoto kama single mama atakavyo basi utapewa mapenzi matamu. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke apatapo mtoto mapenzi yote huhamia huko, hivyo wewe jiandae kuwa chaguo la pili kwake. Haya sio mapenzi na ujue tu kuwa huwezi kuwa na amani kamwe.

3. Mtoto si wako. Hata kama utampenda na kumhudumia kwa namna yoyote ile, ukweli utabaki kuwa huyo si mwanao, sio damu yako. Ni kwamba umejitwika jukumu la kumhudumia mtoto wa mwanaume mwenzako ambaye ndiye ataendelea kutambulika kama baba mzazi. Siku akikua ataanza kumtafuta aliyechangia mbegu mpaka akaja dunuani, sio aliyechangia ugali. Ikitokea mmeachana na single mama, ujue ndio mwisho wa kuonana na mwanao mpenzi uliyekuwa ukimtunza kwa nguvu zako zote.

4. Utatumia nguvu kubwa kulilinda penzi. Ili ujihakikishie kuwa single mama anatulizana na wewe, utahitaji kuishi maisha ya kumfurahisha yeye, kumpa atakacho ili asije akamkumbuka mume wake wa kwanza. Namna pekee ya kumfurahisha ni kuhakikisha mtoto wa mwanamume mwenzako anapata maatunzo mazuri, nguo nzuri, elimu nzuri n.k. Utalazimika kuwa karibu naye kuliko hata baba mzazi anavyokuwa, yote haya ni kutafuta kumfurahisha single mama. Utaishi maisha ya kujipendekeza, yenye stress nyingi.

5. Huna sauti juu ya mtoto. Hata kama utataka umchujue mtoto huyu kuwa mwanao kamili, umpe malezi halisi ya mzazi, kuna mahali utakwama tu. Huwezi kumwadabisha kwa mikono miwili, lazima mmoja utakuwa nyuma na mwingine utakuwa mbele. Mara zote utakaa ukijiuliza, labda nikimfanya hivi mama yake atadhani namchukia, jamii nayo itanifikiria vingine. Utajikuta wewe mwenyewe unajiwekea mipaka hata kabla pilato hajakuhukumu kwa kuvuka mstari!! Pigo kubwa zaidi ni pale single mama atakapokutamkia kuwa unamtendea hivyo kwa sababu mtoto sio wako. Hapo utabaki kama mjinga fulani aliyepigwa bumbuwazi asijue aukabili vipi ukweli huu mchungu.

6. Chanzo cha vurugu kwenye familia. Hata ikitokea mmezaa watoto wengine, bado mapenzi hayawezi kuwa sawa. Single mama wana kawaida ya kuwaandalia mazingira watoto wa baba wengine tofauti hao wa baba waliye naye wakati huo. Hufanya hivyo kwa hofu kuwa watoto hawa mara nyingi hawana urrithi kwa baba aliyewalea. Hii huleta mgawanyiko mkubwa kwenye familia kiasi cha watoto wenyewe kuchukiana. Hata ndugu wa mwanamume hawawezi kamwe kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya familia kwa sabubu sio damu yao na anao ukoo mwingine kabisa. Hawezi kujitambulisha kwa jina la baba wa kambo kwa sabubu hana muunganiko wowote naye. Hata ikitokea baba mlezi amekufa, ukoo wake hauwezi kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya urithi. Tunajifunza kwa wanyama wengine pia kama simba, ambapo anapoinuka dume mwingine kuongoza majike, huua watoto wote àliowakuta kisha huanza upya kusaka watoto wake. Sasa sisi hatuwezi kuua, bali tunaweza kuepuka taabu hii kwa kutokuoa mwanamke mwenye watoto.

7. Mume wa kwanza ana nafasi ya kuendelea kumtafuna single mama atakavyo. Kwa kawaida mwanamke akishazaa na mwanamume, ule muunganiko huwa haufi. Tayari ni mzazi mwenza na hana cha khmficha tena, hivyo kupasha kiporo ni jambo la kawaida tu. Pia mama atataka mtoto amjue baba yake halisi kwa ajili ya siku zijazo, hivyo hawezi kujiweka mbali na mzazi mwenzake. Sasa mzazi mwenza ni juu yake kuamua kuendelea kumla ama la, kwani hakuna kutongozana tena, ni kupanga miadi tu na kukutana kuserebuka. Kidume wewe utageuzwa baba mlishi huku haki nyingine zote zikielekezwa kwa mwenye mwanaye.

Ukweli ni kuwa single mama anapopata mume, focus yake sio ndoa bali ni malezi ya mwanaye. Anataka uhakika tu kuwa mwanae ataishi na atapata matunzo bora ili siku za usoni aje kumsaidia yeye.

Ewe kijana, usijiingize kwenye mtego utakaoharibu maisha yako. Tafuta bikira atakayefunga kiapo nawe, achana na wanawake waliozaa hovyo kwa kukosa mwelekeo.

Hapa sijazungumza juu ya walioolewa kisha waume zao kufariki, kwani kwao hawa yako mambo mengi pia nyuma ya pazia ya kuchunguza.
THE BITTER TRUTH AND THE SPIRITUAL AND SOCIAL REALITY OF LIFE, KWANINI MWANAMKE AKIZAA THAMANI YA MAHARI YAKE HUWA CHINI AMA KUTOKUWAPO KABISA??? KUNA BUSARA INAHITAJIKA KUELEWEKA HAPO, NI ASILIMIA CHACHE SANA YA SINGLE MOTHERS WANAOWEZA KUENDELEA NA MAHUSIANO MENGINE BILA KURUDI NA YULE BABA WATOTO, WATOTO WAMEBEBA NGUVU KUBWA ZA KIROHO KTK MUUNGANIKO AMA MPARANGANYIKO WA FAMILIA, LICHA YA HIVYO PROBABILITY YA KURUDI KATIKA MAHUSIANO YA AWALI NI MAKUBWA SANA KULIKO WATU WANAVYOFIKIRI, KIJANA ANAHTAJI BUSARA NA HEKIMA ZAIDI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO NA MA SINGLE MOTHERS KULIKO WANAVYOFIKIRI, UCAN RUIN IF NOT DESTRUCTING YOUR FUTURE, TATIZO WENGI WETU TUNAPENDA KUYACHUKULIA HAYA MAMBO LAISEE FAIRE SANA BIL KUTUMIA JICHO LA TATU KAMA SI KUWAZA WAT CAN BE 20-30 YEARS WEWE UKIWA HAUPO.
 
Hata Mama mkwe wako atakuchukulia hivyo.
Mimi na wanaume wenye akili tutawachukulia hivyo.
Mungu mwenyewe atakuchukulia hivyo.
Wazinzi na wenye tabia za kimalaya. Iwe ni wakiume au wakike ndio watachukulia poa.

Kutetea uovu inahitaji uwe kichaa uliyebobea. Bikra inaheshimika popote pale kwenye hii dunia. Hata Mariam mama wa Yesu alipewa na anapewa heshima Mbinguni na Duniani akiwa muwakilishi wa Wanawake bikra.

Kumbuka. Siwatetei wanaume hapa. Sitetei wanaume wazinzi na waharibifu. Bali najadili kile ambacho mada inataka.

Mada imejikita kwenye uzinzi wa Wanawake. Ikawa specific kwa Wanawake walio single Mother. Mimi nimejadili kwa uzinzi wa wanawake kwa ujumla kwa kusema wasio na bikra.

Siku nikiona mada inayojadili uhuni wa Wanaume kwenye uzinzi nitajadili.

Ipo mada humu kuna mdau alikuwa akijisifia upumbavu kwa kuharibu binti wa nne kwa kuwatoa bikra. Nilimjia juu.

So usijeona nipo Biased kwenye hizi ishu. Weka mada ijadiliwe.

Sio uwe inferiority inapojadiliwa mada ya wanawake malaya. Na kuleta utetezi butu. Ati wanapewa mimba na nani. Ati wanatolewa bikra na nani.

Huo ni upuuzi.
Oohh mbona kuwahi kuyasema haya siku zote?? Kuna siku na wewe ulisema eti mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume kwenye haya mambo sasa leo unaongea tofauti ungekuwa this specific siku zote tungekuwa tunakuelewa ila siyo kila siku kushikia bango jinsia moja tu hadi tunaona uko biased ila bado nina swali kwako Mungu anawachukuliaje wanawake wasio na bikira na huwa anawapa adhabu gani??
 
Leo sipo kwenye mood ya kuchangia kabisa.
Ila huwa najitahidi kuchokoza tu watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Leo Lizarazu amezidiwa Sana aisee maana washambuliaji wamemzidi aisee..
Yaani utadhani yupo peke yake uwanjani..ana kazi kubwa sana
Halafu Extrovert sijamuona kabisa
 
Kama Ni bikra Basi hata Marianah ana Haki ya kuuliza hayo maswali maana chanzo Cha usingle mama Ni kupoteza bikra kwa mujibu wako...na chanzo Cha usingle mama Ni wanaume kuwatia mimba mabinti...
Nadhani haina haja ya kumkandamiza na kudhihaki maswali ya Marianah
Agiza Apple nakuja kulipa
 
Oohh mbona kuwahi kuyasema haya siku zote?? Kuna siku na wewe ulisema eti mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume kwenye haya mambo sasa leo unaongea tofauti ungekuwa this specific siku zote tungekuwa tunakuelewa ila siyo kila siku kushikia bango jinsia moja tu hadi tunaona uko biased ila bado nina swali kwako Mungu anawachukuliaje wanawake wasio na bikira na huwa anawapa adhabu gani??

Mimi nipo hivyo hivyo siku zote. Usilolijua ni kuwa unaniona hivyo kwa kuwa mada nyingi zinawahusu wanawake kuliko wanaume.

Anzisha mada zinazowaponda wanaume wahuni uone kama sitachangia.

Kuhusu Mungu anawachukuliaje hilo lipo wazi. Wote wanafanya uovu. Wote wanajilaani na Mungu anawachukulia kama kizazi chenye laana. Iwe ni Me au Ke.

Mwisho usidhani kila mwanaume unaweza mtishia. Ulidhani ukisema mambo ya PM ndio nitahofia. Mimi ni mwanaume kamwe sitishwi na jambo lolote sembuse wewe Mwanamke.
 
Jokajeusi, Hayo uliyoyaongea yanabadilisha ukweli wowote??

PM yangu nimeiacha wazi kwa ajili ya watu wanaojielewa siyo kwa ajili ya kila mtu halafu unajua wewe unapenda sana kuropoka kila kitu yaani unajijua kabisa unapenda unaropoka halafu bado hauchagui vitu vya kuropoka!!
 
Basi fungua uzi ukielezea jinsi gani hili tatizo linavyochangiwa na pande zote mbili na sio kuleta contextual derailment na kupoteza mantiki nzima ya mada.
Hivi unadhani kwanini mods mara nyingi wanaunganisha nyuzi??
 
Back
Top Bottom