Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Wooow ... na uzinzi je? Uzinzi maana yake ni nini?
Uzinzi ni kutofuata taratibu za mahusiano ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wooow ... na uzinzi je? Uzinzi maana yake ni nini?
Nakuonea aibu kukwambia.Mpango gani??
Leo sipo kwenye mood ya kuchangia kabisa.Marianah anacheza namba moja na lizarazu.
Wewe hapo unakula sahani moja na Zurii.
Halafu wewe huwa ni mchokozi wa mada a.k.a kivuruge[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijakuuliza.Upeo unaeleza kil kitu. Pole sana
Uzinzi ni kutofuata taratibu za mahusiano ya ndoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijakuuliza.
Watu wazima wamekubaliana kuwa katika ndoa, wewe kinachokuwasha ni nini?
Umetoka nje ya mada.
Mada Ni single mama sio bikra.
Hii ya wanaume wanzinzi na mabinti bikra Ni mada nyingine.
Ukitaka Marianah asiulize maswali unayoyaita ya kijinga Basi na Wewe usiongelee bikra.
Umetoka nje ya mada.
Mada Ni single mama sio bikra.
Hii ya wanaume wanzinzi na mabinti bikra Ni mada nyingine.
Ukitaka Marianah asiulize maswali unayoyaita ya kijinga Basi na Wewe usiongelee bikra.
Na mimi nimekujibu kwa hoja, hii mada inaongelea mienendo ya single mother anapokuwa ndoani na mwanaume ambaye si baba mtoto wake. Hivyo inategemewa ukija na michango yako itakuwa na mantiki sawia na kiini cha mada yenyewe.Mimi nimejenga hoja tu na kama unaipinga jibu kwa hoja mkuu.
Eeebwaaaanaaaaeeeeeeh .... kuna aliyebaki sasa?
Kama Ni bikra Basi hata Marianah ana Haki ya kuuliza hayo maswali maana chanzo Cha usingle mama Ni kupoteza bikra kwa mujibu wako...na chanzo Cha usingle mama Ni wanaume kuwatia mimba mabinti...Unajua kiini cha mada lakini Mkuu?
Kichwa cha Mada kinahusu Single mother lakini kiini cha mada ni uzinzi wa wanawake. Huoni jambo hilo. Ndio maana nimeweka bikra. Sijui kama unashindwa elewa jambo hili.
Unaufahamu na habari za uandishi au kusoma makala na kuzichambua?
Am into nobody's life maybe from your feeble judgment of my comments!! My responses are merely based on all possible premises of the discussed matter.
Which spear?
Tuna magalasa mengi mno siku hiziInashangaza watu wanajivunia kujiita mabaharia.
Hii dunia wanaume wameisha kabisa...haya mengine yaliyobaki Ni mafurushi tu...Mungu tunusuru tusiyapate haya mafurushi(kwa sauti ya atoto)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi fungua uzi ukielezea jinsi gani hili tatizo linavyochangiwa na pande zote mbili na sio kuleta contextual derailment na kupoteza mantiki nzima ya mada.Sisi hatupingi ila tunajaribu kuwafumbua macho kuwa tatizo lipo pande zote mbili na siyo upande mmoja ila ninyi ndiyo mnalazimisha tatizo liwe upande mmoja
Kiumeni ukishobokea sana ndoa za watu kwa nini mwanamme huyu kamuoa mwanamke yule unaweza kuonekana una wivu ulitaka kuolewa wewe mwanamme.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
That was just a rhetorical question, I already know your answer.I will respond this question when it's due, as for now it has no congruence with any of my write-ups.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nao wanaitwa akina baba[emoji1751]Tuna magalasa mengi mno siku hizi
Kama Ni bikra Basi hata Marianah ana Haki ya kuuliza hayo maswali maana chanzo Cha usingle mama Ni kupoteza bikra kwa mujibu wako...na chanzo Cha usingle mama Ni wanaume kuwatia mimba mabinti...
Nadhani haina haja ya kumkandamiza na kudhihaki maswali ya Marianah
Lizarazu mkasome katiba ya wanaumeKiumeni ukishobokea sana ndoa za watu kwa nini mwanamme huyu kamuoa mwanamke yule unaweza kuonekana una wivu ulitaka kuolewa wewe mwanamme.
Hawa wanaume suruali hawajui katiba ya uanaume inasemaje.