Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unataka kuniambia Ushirikina ni sawa na kusengenya au ni sawa na zinaa au ni sawa na kuiba ?
Umeielewa comment yangu?? Nimemaanisha kwenye dhambi hakuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke dhambi ni dhambi tu haijalishi kaifanya mwanaume au mwanamke yaani tutatofautiana kote ila siyo kwenye dhambi!!
 
Je hii sentensi iko applicable kwenye maisha halisi ya hapa duniani au inabaki kuwa msemo tu??
Naongezea

Funguo malaya husifiwa na hudhaminiwa kwa kufungua makufuli mengi lakn makufuli yanayoruhusu funguo malaya hudhalauliwa na kutupwa mbali
 
Wapo
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.

Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".

Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
 
Oohh masikini pole kwahiyo wewe unaamini bikira ni ile ngozi tu inayoziba njia ya uzazi ya mwanamke?? Basi ndiyo maana unaongea utumbo kwahiyo ile ngozi ikitolewa kwa njia nyingine yoyote tofauti na kufanya mapenzi huyo mwanamke anakuwa siyo bikira tena eti??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
 
Jisemee nafsi yako wewe
Mabaharia wakike ni mamaharia. Nyinyi wanaume mnasema
" KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" hii ni sentensi tata sijui nyie ni wanaume wa aina gani msiojua kiswahili.
.
Mimi kama Baharia nasemaje ni marufuku kwa Baharia yeyote kuowa mwanamke aliyezalia kwao (Single mama) hata mjane marufuku.
 
Hao hao mama zenu mbona mnawapelekea watoto.
Na wanataka mkioa muwachukue watoto muishi nao.
Hawawaonei huruma wanawake wanaoenda kuwalea.

Lizarazu wewe oa mtu sahihi,,unayempenda na anayefaa bila kujali Ni single mama au sio.

Ndio maana nasema nyie wanawake wenyewe ni wanafiki. Kuna mambo huwa mnapenda kuona yakitokea kwa watu wenu wa pembeni tu lakini sio kwenye familia zenu, sababu mnajua uzito wa athari zake ukoje kwa mlengwa.

Kwenye suala la kuoa single mother kwangu ni option ya mbali sana.
 
Pole sana kwa kuwa na mawazo hayo hapo kwenye red fonts.

Kama una IG acc nenda kwenye hii mada ukajione michango ya single mothers kisha urudi hapa. View attachment 1203489
Mdogo wangu acha kuwaza mawazo hasi wakati wote.
Akili yako ukishaijaza woga Basi hutakaa uone mazuri ya single mama.
Wote tuko sawa jamani mtupumzishe[emoji23][emoji23]
 
Mhh hatari sana.,Upande wa Single Fathers je!?
Unawazungumziaje vijana wanaochumbia ilhali wana watoto nje ya ndoa na mwanamke/wanawake wengine?
Mwenye ndoa ni mwanamume, ndiye anayeoa. Yeye ni mtafutaji na mlishaji tu, ila mama ndiye mwenye connection na mtoto, ndio maana hata akiwa na wake watano kila mmoja akawa na watoto, ubaguzi utafanywa na wanawake, sio mwanamume.

Mwanamke akiolewa huku ana mtoto atamtunza, mwanamume akioa huku ana mtoto mama atajaribu kumtunza mpaka pale tu atakapopata mtoto kwa mume yule. Hapo mtoto rasmiatakuwa wa kambo na litakuwa tangazo la vita ndani ya familia.

Hivyo huwezi kumlinganisha mwanamke na mwanamume kwenye eneo hilo, ni sawa na wajinga wanavyosema eti mume akitembea nje ya ndoa yeye anafungulia mbwa, huu ni ujinga wa kutoelewa tofauti ya kiasili kati ya mwanamke na mwanamume.
 
We nawe. Kwahiyo mtu akishahusiana akiingia ajiue au?
Ndio unafanya makosa zaidi,kuuwa kiumbe ni jambo baya,na kama ikitokea umepata mimba nje ya ndoa,wewe subiri uzae,kisha kama ni mtu wa dini fanya toba ya kweli na ujutie kosa ulilolifanya na usilifanye tena na ulipige vita jamboamiia hilo.

Sasa tatizo lenu mnabeba mimba nje ya ndoa na mnazitoa mimba halafu wala hamuoni kama ni tatizo,mwisho wa siku mnazidi kupewa mitihani na kuonekana madhalili katika jamii.

Hivi ushawahi kuona kuna nazi iliyoshindana na jiwe ? Najua umenielewa.
 
Back
Top Bottom