Mimi nahisi nimeshamalizana nae tayari.Mpeleke wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nahisi nimeshamalizana nae tayari.Mpeleke wewe
Kumbe ni kazi yako, subiri mshahara sasaKazi yangu nimeimaliza.
Mama zetu wenyewe ukiwapalekea mkamwana ambaye tayari ni mzazi kutoka kwa mwanaume mwingine wanaghafika, hawataki kuskia kabisa. Halafu sasa hapo hapo yeye mwenyewe ana mabinti zake ambo tayari ni masingle maza na anatamani kuona siku moja na wao wakiolewa.Single mothers siyo dhambi kuwaoa lakini tatizo Mama zetu huwa hawana misimamo kabisa ndiyomaana Mke wa Ruthu aligeuka nyuma kuangalia Sodoma na Ghomora walipotoka hatimaye aligeuka kuwa nguzo ya chumvi papo hapo sababu Mungu alishawakataza lkn hata hakusikia.
Kanumba alisema "akili za Mama zetu hazitofautiani na za kuku" ambao ukiwafukuza kwa mawe wasile mahindi baada ya dakika 2 tu watarudi pale pale tena kula mahindi.
Sio kazi inataka mshahara,wengine tunangojea kulipwa mbele za Mola wetu mlezi.Kumbe ni kazi yako, subiri mshahara sasa
Unaweza kuwaongelea single moms in a +ve way; bila kuwadiscredit wanawake single wasio na watoto (kwamba hawana watoto kwa sababu wanatoa mimba). Sio kwamba single moms ndo wabaya/wakosefu sana; lakini ukishaanza kumfanyia comparison na single girl; inaonekana kama kuna walakini; kwamba kuna kitu unataka kujustify. Wasifie tu kwa sababu wapo walioamua kujifunza kutokana na makosa yao na maisha yanakwenda poa sana. They are not less of women...Kinachosumbua vichwa vya watu hapa ni dhana ya kugongewa,ifahamike kuwa mwanamke hata kama sio single mother anaweza kugongwa nje ya ndoa pia.
Kuhusu kulea mtoto hayo ni mapenzi yako wewe nina ushuda wa watu watatu ambao wameoa single mothers na wakaweka sheria mbele ya baba na mama wa binti kuwa hawataishi na mtoto(mjukuu wao) na wakaomba mtoto akae nao,mpka leo hii ninavyozungumza ndoa zao ziko vizuri na watoto wa hao single mothers wanaishi na bibi zao.
Pia naomba ifahamike kuwa ndoa haina kanuni kwamba nikifanya hivi itakuwa poa zaidi,ndoa ni zaidi ya haya tunayoyafikiri.Unaweza kuoa single mother na ndoa yako ikawa na amani sana na unaweza kuowa bikra na ndoa yako ikawa chungu na mpka ikapelekea kuachana.Wapo walio oa bikra lakini ndoa zao hazikudum,hii ina maanisha kuwa marriage has no formula.
Pia wapo ambao sio single mothers lakini wametoa mimba zaidi ya mara moja mimi huwa nawaita mama wa marehem,kutoa mimba kunaweza kupelekea binti asizae tena inategemea na jinsi alivyoitoa,kama mtoaji aliharibu mji wa mimba(endometrium) huyo binti hawezi kupata mimba tena,sasa wewe ukimwoa utajua umepata binti ambae hajazalia nyumbani kumbe umeruka mkojo ukaenda kukanyaga mavi.
Ushauri ni kwamba usioe kwakuangalia huyu ni single mother au sio single mother badala yake oa kwakuangalia je huyu tunaendana na ndoa haitakuwa na vurugu?
mbona wewe unaonekana mdogo kwake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio pacha wangu huyo
Single mothers siyo dhambi kuwaoa lakini tatizo Mama zetu huwa hawana misimamo kabisa ndiyomaana Mke wa Ruthu aligeuka nyuma kuangalia Sodoma na Ghomora walipotoka hatimaye aligeuka kuwa nguzo ya chumvi papo hapo sababu Mungu alishawakataza lkn hata hakusikia.
Kanumba alisema "akili za Mama zetu hazitofautiani na za kuku" ambao ukiwafukuza kwa mawe wasile mahindi baada ya dakika 2 tu watarudi pale pale tena kula mahindi.
Hiki ndicho wanachoogopa wengiMm yoote hayo sijali, ila naogopa tu kuja kupashiwa kiporo, hio ndio point kubwa na hio ndio asilimia kubwa kutokea
Kina booty la kutosha?Nimesisitizwa sana nioe under 20, eti vina heshima, nikikioa kitakuwa kinanisikiliza sana
Wishful thinkingHafu usikute na maneno yote hayo ww mwenyewe single father maana ninavyo jua hakuna mimba isiyo na baba
wanaoamini ndo hao hao single mothers wanaozaa kabla ya ndoa
I don't care,kuna watoto wa kike wanasoma humu naweka wazi tu wajitunze wasizae kabla ya ndoa,sio amri wataamua wao
kwa hiyo haifai wanawake kujitunza??
Lizarazu usome na hapaKinachosumbua vichwa vya watu hapa ni dhana ya kugongewa,ifahamike kuwa mwanamke hata kama sio single mother anaweza kugongwa nje ya ndoa pia.
Kuhusu kulea mtoto hayo ni mapenzi yako wewe nina ushuda wa watu watatu ambao wameoa single mothers na wakaweka sheria mbele ya baba na mama wa binti kuwa hawataishi na mtoto(mjukuu wao) na wakaomba mtoto akae nao,mpka leo hii ninavyozungumza ndoa zao ziko vizuri na watoto wa hao single mothers wanaishi na bibi zao.
Pia naomba ifahamike kuwa ndoa haina kanuni kwamba nikifanya hivi itakuwa poa zaidi,ndoa ni zaidi ya haya tunayoyafikiri.Unaweza kuoa single mother na ndoa yako ikawa na amani sana na unaweza kuowa bikra na ndoa yako ikawa chungu na mpka ikapelekea kuachana.Wapo walio oa bikra lakini ndoa zao hazikudum,hii ina maanisha kuwa marriage has no formula.
Pia wapo ambao sio single mothers lakini wametoa mimba zaidi ya mara moja mimi huwa nawaita mama wa marehem,kutoa mimba kunaweza kupelekea binti asizae tena inategemea na jinsi alivyoitoa,kama mtoaji aliharibu mji wa mimba(endometrium) huyo binti hawezi kupata mimba tena,sasa wewe ukimwoa utajua umepata binti ambae hajazalia nyumbani kumbe umeruka mkojo ukaenda kukanyaga mavi.
Ushauri ni kwamba usioe kwakuangalia huyu ni single mother au sio single mother badala yake oa kwakuangalia je huyu tunaendana na ndoa haitakuwa na vurugu?
PoleMimi ni baharia kazi yangu ni kuzalisha wajinga wajinga kuowa baharia ni marufuku
Kuowa single mother ni ufala full stop.
Leo hutoi maoni?Nyenyere, Joka kuu, Lizarazu na Zurri, heshima kwenu wakuu mko vizuri sana kujieleza na kutetea hoja zenu kimantiki [emoji119]