Oohh haya tunaisubiri hiyo jamii ambayo single mothers na non virgins watakuwa hawaolewi na watabaki kuwa manungayembe tu oh I just can't wait
Tunasubiri mchango wakokumbe mmenimisi eeh.
Hebu nipeni intro mada inahusu nini.Afadhali umeingia.
Lizarazu ametoka ule muda wa half time.
Mechi Ni Kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Probability au tuseme possibility yao inakuwa ndogo compare na hawa wa kawaida maana hatuwez jua wameachana vipi na mzazi mwenzake In different scenario tunaona pia Hawa watoto ni chanzo cha uhusiano kupona na kurudiana after all mtoto anaunganisha wazazi sometimes mi ninani wa kupinga
Bora ntafute mbichi nianze nae moja ata Kama alitoa mimba siwezi kujali kwa sababu sijui
Hujaelewa.Angalia Kwanza mtiririko wa mada
Kama unavyoona pale juu.Hebu nipeni intro mada inahusu nini.
Nimeelewa na nimesoma koteHujaelewa.
PoaNimeelewa na nimesoma kote
Khee nivimbe kichwa kwani bikira kwa mwanamke aliyeolewa ni sifa?? Halafu wewe ni nani hadi ukiniita mimi bikira nivimbe kichwa??
Ndoa yako ina muda gani ?
Kwa jinsi sio jinsia.
Hiyo ya mwisho waachie mabrazameni, wewe chukua zile zinazokuhusu. Kujilinganisha hakumalizi tatizo kwa maana haijawahi kutokea mtu mume kubeba mimba.
Mnyama wa kiume kazi yake ni kuzalisha, ukileta urembo utawekewa ulimbo, ukinasa kwenye ulimbo ni shauri yako.
kumbe mmenimisi eeh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi PM mambo yalikuwaje!????
Hehehe
Mimi sipingi wao kuolewa. Napinga wao kujiharibu wa kutoa bikra na wengine kuwa single mother.
Binafsi bila bikra hakuna ndoa kwangu.
Kingine nilikupa mfano. Kuwa Mungu aliiumba dunia ijibalance. Hata mbugani wapo wanaokula fresh meat na wapo wanaokula mizoga. Ila wote wanaliwa.
Ndio kama la ndoa. Wote wanaolewa lakini mmoja alijiharibu au kuharibiwa na mwingine hakujiharibu au kuharibiwa.
Sasa wanaume wanamaamuzi ya kujiweka kundi la wala mizoga au fresh meat.
Pia wanawake wanamaamuzi ya kujigeuza mizoga au wanawake safi.
Ni hayo tuu Mkuu.
Hebu nipeni intro mada inahusu nini.
Hahaha!!
Sasa kama sio sifa unadhani nini kinajadiliwa humu?
Hivi NI singo mother au single parent!? Kwani kuna double mother?
Nitawaongelea hao sasa hivi. Lakini kanuni ni kuoa asiyezaa kabisa, ila bora zaidi asiyemjua mume badoOohh kwahiyo sasa utajuaje kama mwanamke alipata mimba kwa sababu ya kubakwa je kama alipewa mimba na mwanaume ila akatelekezwa?? Si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa??