Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Oohh haya tunaisubiri hiyo jamii ambayo single mothers na non virgins watakuwa hawaolewi na watabaki kuwa manungayembe tu oh I just can't wait
Mimi sipingi wao kuolewa. Napinga wao kujiharibu wa kutoa bikra na wengine kuwa single mother.
Binafsi bila bikra hakuna ndoa kwangu.
Kingine nilikupa mfano. Kuwa Mungu aliiumba dunia ijibalance. Hata mbugani wapo wanaokula fresh meat na wapo wanaokula mizoga. Ila wote wanaliwa.
Ndio kama la ndoa. Wote wanaolewa lakini mmoja alijiharibu au kuharibiwa na mwingine hakujiharibu au kuharibiwa.
Sasa wanaume wanamaamuzi ya kujiweka kundi la wala mizoga au fresh meat.
Pia wanawake wanamaamuzi ya kujigeuza mizoga au wanawake safi.
Ni hayo tuu Mkuu.