Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Oohh haya tunaisubiri hiyo jamii ambayo single mothers na non virgins watakuwa hawaolewi na watabaki kuwa manungayembe tu oh I just can't wait

Mimi sipingi wao kuolewa. Napinga wao kujiharibu wa kutoa bikra na wengine kuwa single mother.

Binafsi bila bikra hakuna ndoa kwangu.

Kingine nilikupa mfano. Kuwa Mungu aliiumba dunia ijibalance. Hata mbugani wapo wanaokula fresh meat na wapo wanaokula mizoga. Ila wote wanaliwa.

Ndio kama la ndoa. Wote wanaolewa lakini mmoja alijiharibu au kuharibiwa na mwingine hakujiharibu au kuharibiwa.

Sasa wanaume wanamaamuzi ya kujiweka kundi la wala mizoga au fresh meat.

Pia wanawake wanamaamuzi ya kujigeuza mizoga au wanawake safi.

Ni hayo tuu Mkuu.
 
Haya
Probability au tuseme possibility yao inakuwa ndogo compare na hawa wa kawaida maana hatuwez jua wameachana vipi na mzazi mwenzake In different scenario tunaona pia Hawa watoto ni chanzo cha uhusiano kupona na kurudiana after all mtoto anaunganisha wazazi sometimes mi ninani wa kupinga

Bora ntafute mbichi nianze nae moja ata Kama alitoa mimba siwezi kujali kwa sababu sijui
 
Hapa swala siyo kujilinganisha ila ni kuongea ukweli kuwa jinsia zote zina matatizo na siyo jinsia moja
Hiyo ya mwisho waachie mabrazameni, wewe chukua zile zinazokuhusu. Kujilinganisha hakumalizi tatizo kwa maana haijawahi kutokea mtu mume kubeba mimba.

Mnyama wa kiume kazi yake ni kuzalisha, ukileta urembo utawekewa ulimbo, ukinasa kwenye ulimbo ni shauri yako.
 
Ngoja nitakwambia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi PM mambo yalikuwaje!????
Hehehe
 
Pole Sana
Mimi sipingi wao kuolewa. Napinga wao kujiharibu wa kutoa bikra na wengine kuwa single mother.

Binafsi bila bikra hakuna ndoa kwangu.

Kingine nilikupa mfano. Kuwa Mungu aliiumba dunia ijibalance. Hata mbugani wapo wanaokula fresh meat na wapo wanaokula mizoga. Ila wote wanaliwa.

Ndio kama la ndoa. Wote wanaolewa lakini mmoja alijiharibu au kuharibiwa na mwingine hakujiharibu au kuharibiwa.

Sasa wanaume wanamaamuzi ya kujiweka kundi la wala mizoga au fresh meat.

Pia wanawake wanamaamuzi ya kujigeuza mizoga au wanawake safi.

Ni hayo tuu Mkuu.
 
Hivi NI singo mother au single parent!? Kwani kuna double mother?
 
Kwahiyo mwanamke aliyeolewa naye aendelee kutunza bikira anamtunzia nani sasa?? Au umekurupuka tu kureply comment bila kuielewa??
Hahaha!!
Sasa kama sio sifa unadhani nini kinajadiliwa humu?
 
Single mother kama unamuongelea mwanamke ila Single parent kama haujui kuwa unamuongelea mwanamke au mwanaume
Hivi NI singo mother au single parent!? Kwani kuna double mother?
 
Oohh kwahiyo sasa utajuaje kama mwanamke alipata mimba kwa sababu ya kubakwa je kama alipewa mimba na mwanaume ila akatelekezwa?? Si anaamua kukudanganya tu kuwa alibakwa??
Nitawaongelea hao sasa hivi. Lakini kanuni ni kuoa asiyezaa kabisa, ila bora zaidi asiyemjua mume bado
 
Back
Top Bottom