Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Anayeomba ndiyo chanzo cha kila kitu hakuna effects bila causes haijalishi effects zitakuwaje ila siku zote tunatakiwa kudeal na causes kwanza
Naona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.

Kwahiyo lawama zinakuja kwetu sio ? Sisi waombaji au ?
 
Ukikubali utazoea tu,mbona mitume walio oa wake wengi,baba wa imani pia alikuwa na wake wawili.
Usinilazimishe nifuate imani yako nafuata imani yangu ambayo haitambui ndoa ya wake wengi wala waume wengi inatambua ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu
 
Usinilazimishe nifuate imani yako nafuata imani yangu ambayo haitambui ndoa ya wake wengi wala waume wengi inatambua ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu
Haya ni makubaliano tu,wala hatulazimishani.

Nifate huku.
 
Elewa hoja nimesema wote mwanaume na mwanamke wanatakiwa kulaumiwa kwa dhambi ya uzinzi na uasherati

Halafu nimekwambia mimi sifuati mitazamo ya jamii iliyojaa maovu ambayo imezoea kumhukumu mwanamke kwa kila kitu mimi nafuata maandiko ya Mungu yanayohukumu kwa haki na yanayotambua kuwa dhambi ni dhambi tu haijalishi imetendwa na mwanaume au mwanamke
Naona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.

Kwahiyo lawama zinakuja kwetu sio ? Sisi waombaji au ?
 
Sawa.

Ila nakuita,lakini huitikii.
 
Huwaga wanazaa na Mbwa eti???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.

Kwahiyo lawama zinakuja kwetu sio ? Sisi waombaji au ?
Sasa bila wanaume sisi kukomalia Kuomba mbunye kabla ya ndoa yangekuwepo haya????[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu wanaume suala la kuvumilia Genye lishatushinda mwisho wa siku ndo haya ya usingle maza
 
bila wanawake kuwakatalia wanaume yangekuwepo haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…