Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kosa ni letu wazazi. Ndio maana tunaleta humu tukumbushane wajibu wetu kwa watoto
 
Pambana na kutafuta Bikra mkuu wapo wengi lakini NDOA sio lelemamaa...!! Oa bikra alafu mdomoo hautuliii...Oa bikra kichwani kweupee... Ndoa sio suala la Ubikra ni more than that
 
Haya je wanawake wakijitunza wanaume mtaweza kuvumilia kutokufanya ngono hadi mtakapofikia umri wa kuoa na kutaka kuoa??
 
Leo umeteleza! Huwa napenda mada zako sana...
Sina cha kujishangaa la sivyo tutaanza kubishana,ukweli ni kwamba siyo kila siku utakuwa sahihi!
 
Kwahiyo wazazi wanatakiwa wawachunge watoto wao kike tu ila wa kiume wawalee kuja kuwa wahuni kwa sababu tu wao hawapati madhara??
Kosa ni letu wazazi. Ndio maana tunaleta humu tukumbushane wajibu wetu kwa watoto
 

1. Bikira ni kiungo muhimu kwenye agano LA ndoa. Kwenye mila za nyuma binti alitakiwa kuwa bikira ndio aolewe, damu ya ubikra wake ndio ilikuwa ushahidi. Hata Biblia imeagiza hivyo, hicho kiwambo hakikuwekwa kama show tu.

2. Elezea kuhusu kumkandamiza na kumdharau. Ni wapi nimesema hayo? Kwa mwanamke aliyepea katika tamaduni za kigeni mamlaka ya mume kwake ni unyanyasaji. Nasikitika kusema wewe ni mmoja was wanawske was aina hiyo.
 
Leo umeteleza! Huwa napenda mada zako sana...
Sina cha kujishangaa la sivyo tutaanza kubishana,ukweli ni kwamba siyo kila siku utakuwa sahihi!
Kabisa yeye anajiona yuko sahihi kwenye kila kitu
 
Sasa ni wanaume wangapi wanafanya hivyo kwa dunia ya sasa??
Wapo wengi tu, tatizo wewe ndio unadhani haiwezekeni. Kugawa uchi hovyo sio chaguo la mwanamume bali ni wewe mwanamke. Usipojitambua kwa kudhani unafanya kukidhi kiu ya wanaume basi ujue umejitwika majukumu ya makahaba.
 
1. Nimeuliza mwanamke aliyepoteza bikira anapata madhara gani ikiwa alishamrudia muumba wake na ndoa yake ikadumu??

2. Hakuna anayepinga hayo mamlaka ila kwanini unakataa kwamba kuna wanaume wanaotumia hayo mamlaka vibaya kuwaonea wake zao??
 
Sasa mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayegawa hovyo wana tofauti gani??

Najua utaniambia wana utofauti kimaumbile na kijamii na mimi nitakwambia mbona magonjwa nayo hayaangalii hizo tofauti yanawafuata wote??
Wapo wengi tu, tatizo wewe ndio unadhani haiwezekeni. Kugawa uchi hovyo sio chaguo la mwanamume bali ni wewe mwanamke. Usipojitambua kwa kudhani unafanya kukidhi kiu ya wanaume basi ujue umejitwika majukumu ya makahaba.
 
Umeona eenhh?? Mwenzetu anaishi kwenye jamii yake ya kufikirika!!
Ninyi mnaishi kwenye ulimwengu wa walioharibika akili, ndio maana mnaona jambo hilo halipo. Lakini nawahakikishieni kuwa wapo wengi tu wsnaofuata misingi hiyo, na sababu mojawapo hamuwaoni ni kwa kuwa hamuendani nao kitabia. Mnaishi kwenye ulimwengu tofauti uliochakachuliwa, mmeungana na wasio na hofu ya Mungu, ndio maana mnalilia kuhalalisha uasherati na uzinzi.
 
Sasa wewe si ulitaka bikira, umepata tayari na umeshaoa hayo ya ndani ni extra large utapambana nayo ndani ya ndoa!
Tayari najua so sidanganyiki. Nataka na vijana wengine wafungue macho.
 
Kuingizaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wanaingiziwa bila hata kukubali
Mazingira, binti anatengeneza mazingira yeye mwenyewe anajipeleka ghetto alafu anajifanya hataki kutiwa. Hapo hakika hatoki salama na akilalamika ni mnafiki. Mazingira ndio kila kitu, tendo la mwisho wala halihesabiki.
 
Hivi kati ya mimi na wewe nani anahalisha uzinzi na uasherati hapa??

Mimi nasema wote wanawake na wanaume wajitunze Wewe unasema wanawake wajitunze sasa hapo nani anayehalalisha huo uzinzi na uasherati??
 
Umemaliza kazi mkuu, mwenye masikio na asikie.
 
Mazingira, binti anatengeneza mazingira yeye mwenyewe anajipeleka ghetto alafu anajifanya hataki kutiwa. Hapo hakika hatoki salama na akilalamika ni mnafiki. Mazingira ndio kila kitu, tendo la mwisho wala halihesabiki.
Kwahiyo huyo mwanaume kumtia huyo mwanamke kwa sababu ya hayo 'mazingira' ndiyo hana makosa??
 
Sasa wewe unaongea miaka ya 80 huko??? Hata pono hazikuwepoo... vishawishi vya kingono hakuna kabisaa.. Siku hizi haya mavazi na mavyakula ya ovyoo ukichanganya na Technology ya simu si ndo balaa... Mihemkoo juu muda wotee zama hizi sio zile mkuu...
Ndio hasa maana ya uzi huu, turejee tulikotoka baada ya kuoina tulipopotoka. Wazazi wakiona ukweli huu kuhusu wanawake waliizaa nje ya ndoa watagutuka na kuwalinda watoto wao, sio kubaki kulaumu technology. Chukua hatua ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…