Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

I think unaoa mtu aliyekuvutia, she has great personality and you have chemistry between you...….

Mnaokuja na hizi stori za single maza..hamjui kitu cha kuangalia when looking for a mate...

Single maza..is a sign of fertility.....

Single maza is a sign of COURAGE ... a sign of readiness to face responsibilities! hata ukifa ukamwacha na familia hatatereka amejifunza ku face responsibilities before kwa kulea mwenyewe......................

Single maza is a sign of LOVE she had option to abort but she decide to give the baby life...

Hizi story za kuwafanya ma single maza kufeel worthless ziishe tafadhali....

In case you dont know what are you looking for in relationship...nimekupa profile la single maza! Kazi kwenu....
 
Khaa masikini kumbe unadhani mimi ni mtoto ndiyo maana unanidharau?? Kwa taarifa yako mimi ni mama mtu mzima nina mume na watoto na ndoa yangu ina miaka 20 sasa!!
Hongera sana Mungu akujalie
 
Yeye anakwambia mwanamke akiwa bikira ndiyo ana sifa zote za kuwa mke wa ndoa atakuwa na utii uaminifu na uvumilivu tofauti na hapo hakuna ndoa
 
Huyo mwenyewe hajui kisukuma na hiyo tafsiri aliyokupa kaitunga yeye wala sio tafsiri sahihi ya neno "Tombina"

So acha kuhemkwa kwa kudanganywa, mimi sio mpuuzi kiasi hicho cha kumtukania mtu mama yake, hili iweje sasa!?

Siko hivyo ambavyo tayari unanifikiria.
 
Ni tusi baya LA kisukuma, kumaanisha mlale mama yako. Jf in a watu was hali zote, so we need to grow kuzidi huo upuuzi
Asee master!! Hii sio tafsiri sahihi ya hilo neno, acha kudanganya mzee.

Neno "tombina" ni tusi sawa lakini sio tusi kali kiasi hiki unachosema wewe.

Muite mtu yeyote anayefahamu atoe tafsiri sahihi uone kama watasema hiki ulichokiandika hapa, unless na wao wawe hawajui na waandike kwa kuhisi tu.
 
Akhsante umekuja kuweka sawa hii kauli.
Pia samahani na pole kwa kukushutumu.
Nilishtuka na kusikitika Sana..mtu Kama wewe kuanza kutoa matusi hayo makali..
Nisamehe Lizarazu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sasa si useme wewe maana yake??
 
Niambie jamii za ulaya zinasemaje. Hujui mambo mengine unayopinga ni ya kisayansi.
 
Mimi single mother na ukweli ni kwamba mwanangu kwanza,kazi pili na mwanaume ni wa mwisho ktk fikra zng haya mtoa mada Lia vizuri na macho yakuvimbe kabisa
Nilie kwani nina mpango was kukuoa?
 
OK, sina cha kusema juu yako. Huo utii was masharti baki nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…