Thanks. Ukweli unaouma, si kila mtu ataafikiMwenye mawazo negative ni mimi au wewe?? Wewe ni misogynist mkubwa yaani unachukia sana wanawake sijui walikufanya nini unaacha kuongea ukweli unaleta gender bias hapa!!
Unafiki ni nini?Kwahiyo mwanaume kukataa mtoto ndiyo usafi?? Acha unafiki!!
Kuna sheria ya maumbile, nature. Haya ndio matokeo yab kuikimbia asili. Feminism ilianza na lengo la kuboresha sifa za mwanamke. Leo imegeuka kutaka kumfanya mwanamke kufanana na mwanaumeSasa ndiyo nimemaanisha ambao hawaamini katika Mungu unadhani wanajali hata wakifanya huo ukahaba?? Wao kwao kufanya ushetani si wanaona ni sawa tu utawaambia nini??
Single mother aligongewa? It's OK.Aligongewa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke akiacha asili yake anapoteza hadhiyake, ndivyo ilivyo kwa nwanamumeSasa tukikemea si ndiyo kama hivyo mnasema tunataka haki sawa?? Yaani nimegundua wanaume wengi mnalalamikia haki sawa ila hamjui hata mnachokilalamikia kwa sababu hamjui maana ya haki sawa!!
Nimeshajifunza kutoka kwako, tuendelee kuwazalisha mabinti ili wawe wake boraYeye anakwambia mwanamke akiwa bikira ndiyo ana sifa zote za kuwa mke wa ndoa atakuwa na utii uaminifu na uvumilivu tofauti na hapo hakuna ndoa
Naam, hata mimi niliwaza vibaya. Let's move onAkhsante umekuja kuweka sawa hii kauli.
Pia samahani na pole kwa kukushutumu.
Nilishtuka na kusikitika Sana..mtu Kama wewe kuanza kutoa matusi hayo makali..
Nisamehe Lizarazu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ulaya hawana huo ujinga kule wanawake hata wakiwa na miaka 40 wanaolewa na hamna anayewasema vibaya wadanganye ambao hawajaishi kule hizo tafiti za kisayansi zimeanzia kule kule lakini jiulize kwanini wao hawawanyanyapai hao wanawake??Niambie jamii za ulaya zinasemaje. Hujui mambo mengine unayopinga ni ya kisayansi.
Nilie kwani nina mpango was kukuoa?
Si kama wanaume tu mlivyo na upendo wa masharti sasa mnawalaumu vipi wanawake kwenye hilo??OK, sina cha kusema juu yako. Huo utii was masharti baki nao.
Mungu siyo mjinga kuyaacha sasa wewe sijui unajikuta nani??Acheni magugu yamee na ngano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mungu siyo mjinga kuyaacha sasa wewe sijui unajikuta nani??
Thanks. Ukweli unaouma, si kila mtu ataafiki
Huo unaoufanya wewe ndiyo unafiki wenyeweUnafiki ni nini?
Kuna sheria ya maumbile, nature. Haya ndio matokeo yab kuikimbia asili. Feminism ilianza na lengo la kuboresha sifa za mwanamke. Leo imegeuka kutaka kumfanya mwanamke kufanana na mwanaume
Single mother aligongewa? It's OK.
Mwanamke akiacha asili yake anapoteza hadhiyake, ndivyo ilivyo kwa nwanamume
wewe tahira nini??kwani wanawake wangapi wanatongozwa na wanakataa?Mbona unajaribu kukimbia chanzo na kuhalalisha maovu ya wanaume?? Ni wazi hauna hoja ila umeamua kuandika kwa sababu tu una mikono ya kuandika!!
Doesn't work like that, Think again
Nimeshajifunza kutoka kwako, tuendelee kuwazalisha mabinti ili wawe wake bora