Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hatari sana hawa "Single Mothers", ndoa yako ikiingiliwa na hawa, kupona bahati, sababu watamlisha maneno mke wako, mfarakane, mgombane na hatimaye hata kuachana, "Singo Maza" alyways wanataka wenzao nawo waharibikiwe, ogopa single mothers popote ulipo..
 
Eti huwa mko wengi duuh. Mie sipo kwenye hilo kundi ila kiukweli single mother sio wengi kiwango cha kusema katika wanawake 10 wa jf basi 09 ni single mother.

Hilo nalikataa aisee
hapo sawa,hebu nipe mtazamo wako,kwenye 10 humu JF wanaweza kuwa wangapi hao singeli mazeli?
 
Huu uzi itakua ngumu kuaminika sababu una makorogesheni ya kiwango cha dr Louis..
 
Back
Top Bottom