BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Mbona jibu liko wazi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupe mkuuMbona jibu liko wazi..
Marriage is most important thing kama ambavyo nyinyi wawili mume na mke lazima mjipe priority ..usitegemee sana kwamba uwepo wa watoto kutawapa furaha ..furaha yenu na upendo wenu comes first .....tupe mkuu
Kweli kabisa mkuu. Nawaonea huruma sana akina dada maana unakuta leshamaliza first 11 na mimba haipati... ndoa haipati. anabaki kulalamika tuuu. Wengine wanatembeza kumpata huyo mtoto ila hawajijui kama wana fertility problems zinazohitaji tibaMarriage is most important thing kama ambavyo nyinyi wawili mume na mke lazima mjipe priority ..usitegemee sana kwamba uwepo wa watoto kutawapa furaha ..furaha yenu na upendo wenu comes first .....
Hakika akili hizi zinaleta janga kubwa sana kama hazitadhibitiwa..Kwa akili za wabongo zilivyo heri usingo maza maana walau watu watajua kuwa kizazi anacho kuliko ugumba aisee..
Faraja pekee ya mwanadamu, ni kuwa na uhusiano mzuri na muumba wake. Maisha bila Yesu, simply ni bureJaneth ni mwanamke msomi na mwenye kipato kizuri tu. Licha ya umbile lake zuri na tabia njema, hajaolewa mpaka sasa licha yakuwa ana umri wa miaka 37. Kitu pekee kinachomliwaza Janeth ni mtoto aliyempata katika mahusiano akiwa chuo kikuu mwaka wa pili na suala la kuolewa limeshindikana kwake mpaka sasa na amechoshwa na upweke wa kukosa mume wa maisha.
Nadya amebahatika kuolewa mapema na mume mwenye upendo wa dhati kwake na anamtimizia mahitaji yote muhimu katika ndoa. licha ya kuwa ndoa yao ina miaka minne, hawajabahatika kupata mtoto licha ya kupimwa hospitalini na kuambiwa wote hawana tatizo la kiafya.
Je, kati ya Janeth na Nadya nani ana faraja zaidi katika maisha?
View attachment 614494 View attachment 614496
Nimelinganisha single mother na childless mother kwa sababu wote wana faraja moja na changamoto moja... sasa ni kwa jinsi kiwango gani wanatumia zaidi ile faraja
zishaleta majanga mengi mpk sasa aisee ila zinapaswa zibitiwa kabla majanga hayajapitilizaHakika akili hizi zinaleta janga kubwa sana kama hazitadhibitiwa..
Mara mia ivo kuliko masimango ya kutozaa
Single mother is also not by choice in most cases, especially mkoa niliopo ndoa zinafungwa sana but watu wakishazaa mtt mmoja au wawil zinavunjika karibu asilimia 80 ya ndoa hz, another case n kwamba mtu kafiwa na mumewe hakuchagua hilo, so sidhan n choice coz single maza weng n matokeo ya mifarakano...Msingi wa hoja yangu ni kwamba childless situation in most cases is not by choice kwa sababu hakuna wanandoa wanaotaka wasiwe na watoto. Yaani hili ni tatizo, tena kubwa sana na liko juu ya uwezo wa wanandoa, na ndiyo maana wengine wanasema kupata mtoto ni majaaliwa ya mola. Je single mothers hawawezi kuolewa?
Pia ktk hili wasichana weng n mabingwa wa kutoa mimba wakiwa shule ili tu asizae kabla ya ndoa so akija tulia na kuolewa asilimia kubwa wanapata tatizo la kushika mimba ila hasemi ng'o kama amewah toa...Msingi wa hoja yangu ni kwamba childless situation in most cases is not by choice kwa sababu hakuna wanandoa wanaotaka wasiwe na watoto. Yaani hili ni tatizo, tena kubwa sana na liko juu ya uwezo wa wanandoa, na ndiyo maana wengine wanasema kupata mtoto ni majaaliwa ya mola. Je single mothers hawawezi kuolewa?
....Sasa we need to define single mothers, hivi divorced na wajane ni single mothers?Single mother is also not by choice in most cases, especially mkoa niliopo ndoa zinafungwa sana but watu wakishazaa mtt mmoja au wawil zinavunjika karibu asilimia 80 ya ndoa hz, another case n kwamba mtu kafiwa na mumewe hakuchagua hilo, so sidhan n choice coz single maza weng n matokeo ya mifarakano
Of course n single mother we umemkuta mtu ana mtt mmoja hujui historia yake analea mwenyewe, what would u call her? Kama sio single mother....Sasa we need to define single mothers, hivi divorced na wajane ni single mothers?
...Let's also define mwanamke mgumba, je in her entire life ameshawahi kushika mimba?Pia ktk hili wasichana weng n mabingwa wa kutoa mimba wakiwa shule ili tu asizae kabla ya ndoa so akija tulia na kuolewa asilimia kubwa wanapata tatizo la kushika mimba ila hasemi ng'o kama amewah toa
( ndo mana tunahangaika kwa ma gyno c kama zaman) kila kitu kinabadilika
Weng wao ila sio wepes kusema ukweli na marafiki waliopitia hili pia majiran, ndugu ,aseme ukweli na n tayar mke wa mtu hathubutu NB, muamini mwanamke uliemkuta na bikra original...Let's also define mwanamke mgumba, je in her entire life ameshawahi kushika mimba?