Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Taaluma gani hiyo ?

Kizungu si lugha tu kama lugha nyingine nataka nione mke wa nne muzungu,kwahiyo najipanga kabisa mapemaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakuwa hamuelewani humo ndani Haki ya Nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzungu!?!!

Unataka nitaje taaluma yako!?[emoji14][emoji14]
 
Usitaje.

Tutaelewana tu mdo mdo.
 
Kielimu tena?? Sema mimi nchi zinazonifanya nikipende kiarabu ni United Arab Emirates na Qatar ila nchi kama Oman na Saudi Arabia......

Naomba niishie hapa!!
Japokuwa hakuna Lugha iliyokaa kielimu kuliko Kiarabu ila kujifunza lugha nyingine ni jambo zuri pia.

Nifundishe aisee ung'eng'e.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…