Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Yaani Bora usingenambia kabisa kuliko kuniambia wakati ulishaondoka[emoji25]
Kwako mie sina shidaMmh kwani wanaume nanyi huwa mnakubali uume wenza??
Unataka nikujibu kutokana na uhalisia?? Wapo wanawake wengi tu wanaolewa na waume zaidi ya mmoja na ndoa zinadumu ndiyo maana nakwambia wewe unahitaji exposure zaidi ili uendelee kujifunza mambo mengine kuhusu maisha au hata kama hauna exposure basi jaribu hata kuwa mfuatiliaji mzuri wa haya mambo ili siku nyingine usije na nyuzi kama hizi zenye porojo nyingi kuliko uhalisia!!Jibu hilo swali acha kulalama
Kwako mie sina shida
Wana kipaji cha pekeyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Oyaa Bado tu hamjamalizaa???? Au marianah na Nyenyere ni ID mojaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji33][emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana hammalizi tuu Comment 2000 bado mnaeleweshana aisee.... Nyie kwa ubishi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa kweli hili limenishtuaWana kipaji cha pekeyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtanange naona bado unaendelea. Umeamkaje weye? Mi ndo namaliza kukamua hawa ng'ombe ngoja niwapeleke machungani. Wameshanichosha njooni tu muwachukue kwa kweli [emoji16][emoji16]Wana kipaji cha pekeyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pamoja na kubadili mada Ila wameamua kuirudia.Mtanange naona bado unaendelea. Umeamkaje weye? Mi ndo namaliza kukamua hawa ng'ombe ngoja niwapeleke machungani. Wameshanichosha njooni tu muwachukue kwa kweli [emoji16][emoji16]
Achana na mimi mvulana mvulana mvulana baba ako
Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA
AmenUnataka nikujibu kutokana na uhalisia?? Wapo wanawake wengi tu wanaolewa na waume zaidi ya mmoja na ndoa zinadumu ndiyo maana nakwambia wewe unahitaji exposure zaidi ili uendelee kujifunza mambo mengine kuhusu maisha au hata kama hauna exposure basi jaribu hata kuwa mfuatiliaji mzuri wa haya mambo ili siku nyingine usije na nyuzi kama hizi zenye porojo nyingi kuliko uhalisia!!
Ni ngumu sana mkuu, lakini ni bora akaoa binti ambaye hajazaa bado ili aanze kujifunza kumjali mtoto. Sababu kubwa asiye na mtoto akiolewa na single father atajielekeza kumjali mtoto pia akiamini ndipo ulipo moyo wa mumewe, akitafutwa kupendwa zaidi. Kabla ya kuzaa ataamini kuwa kudumu kwake kwenye ndoa kuna husiana moja kwa moja na kumlea vema mtoto wa kambo.Umeeleza ukweli mtupu na kama ni mtihani umepata 100%. Hichi ulichoandika kinatokea sana tena sana kwenye jamii zetu. Thumb UP
Mtu ambaye ni single father unamshauri vipi?
Usitake nikutukane vibaya sana boya wewe, nimekwambia mvulana ni baba yako aliyekuzaa sasa endeleaOna unavyozidi kudhihirisha uvulana wako sasa