Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Yaani omba mungu usiwe na uzao wa kike maana lazima mungu akulaani kwa huu waraka wako.kizazi chako Cha kike kitapata tabu sana
 
Kwahiyo kwa sababu wewe haujawahi kuwaona wa tofauti basi ndiyo ina maana hawapo si ndiyo??
Single mother anastahili kuishi lakini hafai kuolewa na anayeanza ndoa. Mwenye kuanza ndoa anastahili kupata mke fresh wapate uzoefu pamoja, sio single mother. Weka nukta hapo. Mengine blah blah tu.
 
Heri single mama kuliko mtoa mimba hodari
Yaani omba mungu usiwe na uzao wa kike maana lazima mungu akulaani kwa huu waraka wako.kizazi chako Cha kike kitapata tabu sana
Ah wapi! Kwa kosa gani? Ametahadharisha kwa jambo la kweli kabisa, tena mbona atabarikiwa sana. Na uzao wake wa kike utaepushwa na laana ya single motherhood. Na hata watoto wake wa kiume wataepushwa na kukingwa kabisa dhidi ya single mothers.
Wewe mwenyewe nina uhakika hutaki mwanao wa kiume akuletee single mother ati ndio mkweo! Na kama una binti nina uhakika hutaki awe single mother. Ni laana hiyo kitu.
 
Single mother anastahili kuishi lakini hafai kuolewa na anayeanza ndoa. Mwenye kuanza ndoa anastahili kupata mke fresh wapate uzoefu pamoja, sio single mother. Weka nukta hapo. Mengine blah blah tu.
Niweke nukta kwenye mtazamo wako binafsi?? Hapa tunaangalia uhalisia tu kama single fathers wanaweza kuoa wanawake wanaoanza ndoa inashindikanaje kwa single mothers kuolewa na wanaume wanaoanza ndoa??
 
Mada inahusu single mothers. Naamini msimamo wa wanaume umeuelewa, wameurudia mara nyingi sana.
Naamini hata wewe hutaki binti yako awe single mother wala mwanao wa kiume aoe single mother.
 
Mada inahusu single mothers. Naamini msimamo wa wanaume umeuelewa, wameurudia mara nyingi sana.
Naamini hata wewe hutaki binti yako awe single mother wala mwanao wa kiume aoe single mother.
Hebu tufunge mjadala mkuu maana naona unanilazimisha niache kuamini uhalisia niamini mitazamo ya wanaume wa humu wakati mitaani tunaona single mothers wanaolewa kila mwezi na wanaume ambao hawajawahi kuwa kwenye ndoa na wala hawana watoto na ndoa zao zinadumu kwa amani tu!!
 
Kazi ya kutetea single mothers ni ngumu sana. Bora tu watulie walee watoto wao.
 
Kazi ya kutetea single mothers ni ngumu sana. Bora tu watulie walee watoto wao.
Hatutetei ila tunaongea uhalisia tunaouona kwenye jamii hatuwezi kukaa tunasikiliza maneno ya watu tu humu wakati matendo ni tofauti
 
Hatutetei ila tunaongea uhalisia tunaouona kwenye jamii hatuwezi kukaa tunasikiliza maneno ya watu tu humu wakati matendo ni tofauti
Single mother no! Nope! Nina uhakika hata wewe hupendi.
 
Wewe kama umempenda OA.acha kusikiliza maneno ya watu
 
Mkuu we oa tu ,cha msingi mpige pumbu vizuri na huduma nyingine zote za muhimu mpatie ,zaidi hakikisha ana nidhamu nzuri ndani ya nyumba .Hayo mengine muachie mwenyewe mana hata walioanza na game bila bila 0-0 nao tunawaona wanalia mtaani tu kama wengine ,narudia tena mtombeeee sanaaaaaaaaa.
 
Ni wrong info tu walizonazo wanaume!! Wasio na akili timamu.

Wapo waliolewa mabikra lkn wanatoka nje ya ndoa. Wapo waliolewa bila watoto lkn ndoa zimevunjika with no time. Wapo walioa sinhi mother ndoa zao ni bora.
Comment nzuri lakini imeletwa na mtu hasiye sahihi hivyo kukosa uhalali kwa kuwa mwamba ngoma huvutia ngozi kwake.
 
Umefanya utafiti wapi?? Ukaona majority kuwa Wana shida??

Ni ukosefu wa akili tu.

Na hao wasio na watoto hawacheat na ex zao?
Nini kina wafanya waliowazalisha wapashe viporo?
Acha kutoa mapovu. Weka hoja mezani zijadiliwe.
 
Mengine ni juhudi zangu mimi mwenyewe katika harakati za kufanya upelelezi
Oa kama jamaa yake angekuwa amashafariki!! Ila as long as yupo hai JUA KUWA BADO ANAMPENDA yeye kumkatalia mtoti haimaanishi kuwa hayupo moyoni nilichogundua ni kuwa wanwake huwa wanatumia sana hisia kufanya maamuzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…