Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Lakini angalau Mungu aliyetuumba hajaruhusu wanaume wawazalishe hovyo wanawake kwa sababu yoyote ile
Mungu Mwenyezi ameonya wanawake kujihusisha na ukahaba, ina maana kubwa sana. Ila kwa wanawake wenye mtazamonhasi kama wewe watamwona anapendelea kumbe ina maana kwa mwanamke na mwanamume pia
 
Aisee nimekuelewa sana kwa uzi huu mkuu .Cjui nilikia wapi kujaa siti ya mbele kukupa pig up .
Umeeleza ukweli mtupu .Nilishasema issue ya kuoa single mama siwezi kamwe matatzo yake ndo Kama ulivyoeleza .Bora nibaki single Milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nikishindwa kabisa nitaoa hata mkubwa zaidi yangu lakin asiye na mtoto
Pamoja mkuu
 
Ni kweli, mmojawapo ni mimi ndio maana nawaonya mabinti walio kwenye hatari bado.
Wanaume wanaojitambua ni wale wanaojua kwamba wote wanaume na wanawake wanakosea na wote wanatakiwa kuonywa, siyo wewe mnafiki na kama na wewe unajiona ni mmoja wa wanaume wanaojitambua basi nafikiri kuna haja ya kubadili maana ya neno "kujitambua".
 
Kwqni wanaohubiri kuacha dhambi wanawaponda? Una tafsiri potofu
Uzi wako unawataka wanaume wasioe single mothers kwa sababu zako hizo ulizoziorodhesha, kwa maana hiyo hapo hauwaonyi bali unawaponda.
 
Mungu Mwenyezi ameonya wanawake kujihusisha na ukahaba, ina maana kubwa sana. Ila kwa wanawake wenye mtazamonhasi kama wewe watamwona anapendelea kumbe ina maana kwa mwanamke na mwanamume pia
Kwani hakuna sehemu aliyowaonya wanaume?? Mungu hana upendeleo wala ubaguzi ila ninyi waja ndiyo mna upendeleo na ubaguzi!!
 
2.png


Hao ni trela tu,bado ambao hawaja like

na wale wanao pita kimya kimya

Acha kabisa hawa watu wana ka umoja kao
 
Tukichimbua chanzo cha single mothers na kukifanyia kazi basi itasaidia kupunguza uwepo wao na siyo eti kufurahia ongezekao lao halafu waje kunyanyapaliwa
Hapa hatujadili uwepo wa single mothers, tunachosema ni kuwa hawafai kuolewa.
Gari ikishapata ajali inashuka thamani, bila kujali chanzo.
 
Back
Top Bottom