Kwahiyo tatizo tunalojadili hapa ni uwepo wa single mothers? Wewe ndiye uliyeishiwa hoja unaropoka.
Linalojadiliwa ni kuwa single mother hafai kuolewa na wanaume wa kundi fulani limetajwa (wapya kwenye ndoa), hao wengine (wazee waliokwishaoa zamani, wagane, wenye watoto bila ndoa) tukasema ruksa.
Kumbe wewe unaamini ukichimbua chanzo cha single mothers ndipo utashawishi waliokuwa hawawataki wawakubali? Kwani kujua hicho chanzo kutaondoaje hizo kasoro walizonazo? Eti kujua kuwa chanzo cha kovu ni moto kutafuta hilo kovu? Kama mtu hataki mwenye kovu, hata ukimwambia kovu lilitokana na moto wa dhahabu, bado kovu litabaki na litaendelea kuleta hisia ileile kila linapoonekana.
Single mother wakaolewe na hao waliozaa nao, vinginevyo watulie walee watoto wao.