Nope, ukweli ni kuwa wanawake wanawajibika kwa makosa yao wenyewe. Angalia biolojia ya mwanamume na mwanamke, mmoja anatamani na ndivyo alivyo, mwingine imempasa kumsaidia mwenzake asianguke majaribuni. Lakini ni kipi kinachoendelea? Wanawake wanajipamba kikahaba wakishindana kutafuta kusifiwa na kupendwa na wanaume, na hivyo wanaume wanaingia mtegoni kwa madhaifu yao. Ikitokea mimba hukimbia mbio kwani halikuwa lengo lao, tamaa ndio iliwavuta kuwalala wanawake hawa wasiojitambua.
Kuna msamiati wa ajabu umetungwa hapa mimba zisizotarajiwa! Wewe ulale na mwanamume ufanye naye [Btendo la ndoa[/B] wakati huna ndoa unatarajia nini? Na Mungu anavyo jibu, mkitumia vidonge vya majira mimba zinakimbia, siku ukitaka kuzaa utaishia kwa waganga ama makanisani kuombewa.
Wanaume wataendelea kuwazalisha na kuwakimbia as long as mnawatengenezea mazingira ya kifanya hivyo, nyie endeleeni kunyoosha vidole.