Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Unaanzaje kumuoa singo maza??? Mabaharia mnakwama wapi? Njooni niwape connection ya mabinti bikra wanaosubiria upepo wa kisulisuli ili waolewe.

Usithubutu! Usithubutu! Usithubutu! Kuoa singo maza, ni maana hiyo.
Nipatie mmoja nitest zali
 
Kwa kauli hii Joshua alikuwa na moyo mgumu sana. Ningekuwa mm, ningezimia na kufariki muda huo huo. Inaumiza sana.

Singo maza ni mwanamke aliyekosa maadili toka tumboni kwa mamake, ndiyo maana akazaa kabla ya ndoa. Baharia unaanzane kumuoa???
Watu kama nyie tunawaangalia then tunacheka kwa herufi kubwa, ubwabwa wa shingo haujawatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaanzaje kumuoa singo maza??? Mabaharia mnakwama wapi? Njooni niwape connection ya mabinti bikra wanaosubiria upepo wa kisulisuli ili waolewe.

Usithubutu! Usithubutu! Usithubutu! Kuoa singo maza, ni maana hiyo.
Fungua pm tupate vitu hivyo
 
Azarel,
Upendo wa single moher upo kwa mwanaume aliyemzalisha. Kuna 98% ya single mother kurudiana na mwanaume aliyemzalisha hata kama itapita miaka 7. Kuoa single mother ni changamoto sana.
 
Anaweza asiwe singo maza akarudiana na aliyemtoa bikra, anaweza akawa bikra akakutana na baharia akamchanganya akaona kwako alikuwa anapunjika. Mambo ya ndoa ni kumuomba Mungu tu
 
Anaweza asiwe singo maza akarudiana na aliyemtoa bikra, anaweza akawa bikra akakutana na baharia akamchanganya akaona kwako alikuwa anapunjika. Mambo ya ndoa ni kumuomba Mungu tu
Pia naongezea, kuna kupenda kupendwa na kupendana...

Kupendwa na kupenda vinatokea mara nyingi tu, lakini kupendana inaweza ikamtokea mwanadamu mara moja ikizidi sana mara mbili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…