Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sawa
 
Umezungumza ukweli lakin tambua watu hawawasemi kuhusu upambanaji wao..
watu wanawasema juu ya kutokua na kikomo cha mahusiano na waliowatelekeza (Baba wa mtoto)
 
Kama kuna kosa watu tunafanya ni ku-generalise, hii generalisation inawagharimu wanaume na single mothers. Wanaume wanakosa wife material kwa generalisation kuhusu single mothers, single mothers nao wanakosa waume wa maana kwa sababu tu ya kujihusisha kwa mara nyinigine tena na wanaume waliowazalisha na kuwatelekeza.

Vv
 
Watu wanaongeaa utadhani wadada walioolewa wakiwa hawana watoto hawachepuki kumbe wanaliwa kila kukicha..

Umalaya tabia ya mtu tu bila kujali kazaa au hajazaaa mbona wapo singo maza kibao wana misimamo
 
Sasa wanawake wakisema watulie kama magogo si ndiyo wanasalitiwa au wanaachwa na wanaume wao??
Si kweli mwanaume hawezi kukusaliti kwa sababu wewe ni gogo. Ila anakusaliti kwa sababu anaendeshwa na tamaa. Unaweza ukaweka style zako zote na bado ukasalitiwa.
 
Anaitwa lilian Kamazima aliwai kuwa miss Tanzania 2014 to 2016 yupo instagram anatumia jina ilo ilo kama unataka picha yake
Dah! Si mutu wa ile kanda pendwa huyooo? Jamaa ali bug sana. Singo maza wa kanda ile au kule kaskazini usiombe. Akikutana na aliyetoboa huwa wanachanganyikiwa. Hata katikati ya highway wanalalana.
Pole zake ila tusimtoneshe kidonda mwl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…