Wala sijamaanisha hilo ulisemalo, nilipotolea mfano wakukaa kama gogo ni kujibu hoja ya kuridhika kwa mwanaume, mengine niprogramming tu. Unadhani kwa nini mwanamume anabaka na anaridhika? Kiuno ni mambo ya maboresho tu, na wanawake wengi wanajua hiyo art. Tofauti inakuja pale mnapoanza kudai kukunjana kama mkizi, ama mara kichwa chini miguu juu, mara sijui popo kanyea nini n.k. hayo mambo ni mind programming tu, wala hayana uhalisia. Mwanamke ana namna yake natural ya kushughulika na mwanamume kadhalika.
Kuhusu kuoa kahaba, kama unaoa mwanamke aliyetolewa bikra na wanaume wengine tusemeje? By the way ni Biblia ndio imesema hayo, si mimi.