Wanaume walioharibika akili, usisikilize hadithi za abunuwasi. Staili za kitandani zimelenga kumridhisha mwanamke zaidi kuliko mwanaume. Na aina ya wanawake hawa ni wale waliochezewa sana na kupata ujuzi hata usiokuwapo.
Ndio maana mume akipata mke humtenda kwa utulivu kwani mke ni yule aliyetulia mwenye bikra yake hana makeke ya kitaa, asiyemjua mwanamume bado. Ukiona mwanamke analalamika kudai staili nyingi nyingi jua umeoa kahaba, ndivyo ilivyo kwa mwanamume pia. Akidai staili mpaka mnatazama na picha za ngono ujue kuna kasoro kichwani