Yaani mimi,ndo maana nimeapa kutokuzaa kila mtoto na baba ake.haijalishi itatokea ,sitakaa nizae na mwanaume mwingineAsante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv
1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka
Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
Na tena wanawake tunachuki wakati nilipokuwa mdogo sijawahi kufikiria sasa nimekuwa ndo naelewa👐Asante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv
1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka
Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
Apo umenena mwanamke aloezaa akaachika ni balaa dada piga kaz awalee wanao mumeo akizingua hawa wengine njaa na kutafuta maisha ndio huwa kuna wakimbiza kwa mabwana wengine na sio mapenzi na niliwah kumsikia mwanamke mmoja akisema " nilikuwa natafuta maisha kwa kipindi kile ndio akatokea baba fulani "Yaani
Yaani mimi,ndo maana nimeapa kutokuzaa kila mtoto na baba ake.haijalishi itatokea ,sitakaa nizae na mwanaume mwingine
Pole natamani kujua zaidi ulopitia ila ...pole sana huo ndo msimamo wangu watoto wangu ntazaa na baba mmoja tuApo umenena mwanamke aloezaa akaachika ni balaa dada piga kaz awalee wanao mumeo akizingua hawa wengine njaa na kutafuta maisha ndio huwa kuna wakimbiza kwa mabwana wengine na sio mapenzi na niliwah kumsikia mwanamke mmoja akisema " nilikuwa natafuta maisha kwa kipindi kile ndio akatokea baba fulani "
Yaani maisha niliopitia nilikuwa najisikia vibaya sn nikikutana na familia ambazo zimepangika wanafuraha wanapendana mbaya zaidi ilikuwa mdingi akija home na marafik zake km sipo itabid nikatafutwe mpaka mtaa wa tatu sababu ilikuwa kuu wale watoto wengine marafik za baba walishashtuka kuwa sio wanae na miguno ya apa na pale mding mwenyewe mpaka kichwa kinamuuna akiniona mm ndio afadhali akiondoka sasa km nilipewa pesa lazima zivutwe yaan ilifika wakati ata wale ambao hawana mama nikawa nawaonea gere ni bora mwanaume azae na wake wengi kuliko mwanamke azae na wanaume wengi na washikaji wakijua utatukanwa SON OF BITCH na wakat huna hatia
Ntakuja na thread soon ntaweka kila kitu open watu waone jinsi mama alivyokuwa anang'ang'ania pesa za gu yaan kika kitu changu alitaka anunue yyPole natamani kujua zaidi ulopitia ila ...pole sana huo ndo msimamo wangu watoto wangu ntazaa na baba mmoja tu
Usisahau kunitagNtakuja na thread soon ntaweka kila kitu open watu waone jinsi mama alivyokuwa anang'ang'ania pesa za gu yaan kika kitu changu alitaka anunue yy
Mnaz mmoja,kata chifunfu,wilaya Sengerema
ungefanya mpango ukakae na mzee.vipi saizi still unaishi nao vizuri?Asante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv
1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka
Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
vipi unategemea kuzaa na mume wa mtu?Hivi ukizaa na mume wa mtu mako unakua single mother nijiandae kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
I guess utakuwa unamchukia sana.vipi hakuwa na mwanaume mwingine?Ntakuja na thread soon ntaweka kila kitu open watu waone jinsi mama alivyokuwa anang'ang'ania pesa za gu yaan kika kitu changu alitaka anunue yy
Ilo mm cjuu nachokijua alikuwa na watoto wawili wa kike kila mmoja ana baba yakeI guess utakuwa unamchukia sana.vipi hakuwa na mwanaume mwingine? Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri hata walio zaa na baba tofauti tofauti walipenda?Pole natamani kujua zaidi ulopitia ila ...pole sana huo ndo msimamo wangu watoto wangu ntazaa na baba mmoja tu
Mama mzazi unamaanisha? Ukileta uzi unitag nami nijifunze maana haya maisha ni shuhuli pevuNtakuja na thread soon ntaweka kila kitu open watu waone jinsi mama alivyokuwa anang'ang'ania pesa za gu yaan kika kitu changu alitaka anunue yy
Walio wengi wanapenda akiona pesa ipo anajiachia Sasa unakuwa na mpenzi mme wa mtu mtoto apatikane useme bahati mbayaUnafikiri hata walio zaa na baba tofauti tofauti walipenda?
Dunia tambara bovu hili mkuu.
Pole sanaAsante sn mtoa mada nilikue
Wa naisubir kwa hamu sn hii topic mm nimelelewa familia ya wanawake watupu mama na dada zangu wawili wakubwa ambao wana baba zao kila mmoja na baba ake mtoto wa 3 nina baba yangu ambae ndie alikuwa tegemez ata kwa wale dada wasio wanae ila alikuwa ameoa mke mwengine ambae aljkuwa anaish nae nyumban alikuwa anakuja mara chache sn aisee usiombe kuzaliwa familia ya hii balaa lipo hv
1.mama alitumia nguvu nyingi kunidanganya km bawa dada zangu tumezaliwa baba mmoja
2.nilitumika km kitega uchumi mama alikuwa akimuandikia baba barua juu ya matumiz yangu lkn pesa zilipoletwa zilitawanywa na sikupata ata punje
3.mama hataki kukosolewa na anachotaka ufanye kile anachokuagiza utasikia nasema ivyo km mama io ni amri
4.dada zangu hawakuwa na upendo ni full vijembe mipasho na matusi mama yupo apo anaangalia
5.baba akija kutembea wanabadilika wanajifanya wananipenda
6.ukipata matatizo au ukilia wanashangilia tena wanacheka kabisa niliwah kuwakuta dada na mama wanashangilia hii ni baada ya kunisingizia kwa baba kuwa nimempiga mama
7.unalazimishwa kuvaa nguo wanazotaka
Naomba tuishie apo wadau maana nikisema nijaze utawachukia wanawake wote WANAWAKE NI WANAFIKI i hate them siku nikipata mda ntakuja ma thread
Wewe apo Mme/mke wako ambae upo nae sasa ukimfumunia Mara kadhaa au akiwa na tabia ambazo kwako haziridhishi utaendelea kubaki?Walio wengi wanapenda akiona pesa ipo anajiachia Sasa unakuwa na mpenzi mme wa mtu mtoto apatikane useme bahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia kuna kuachana hiyo sikatai, lakini pia kuna mtu upo mwenyewe unaenda unazaa na mtu mwenye familia yake unajisikiaje pale unapona ugomvi wa mke na mme kisa wewe!Wewe apo Mme/mke wako ambae upo nae sasa ukimfumunia Mara kadhaa au akiwa na tabia ambazo kwako haziridhishi utaendelea kubaki?
Hii ya kwenda kuzaa na mtu mwenye familia Mara nyingi hii imekaa kimaslahi hata mtoto akitelekezwa lawama abebeshwe mama tu.( lakini hawa ni asilimia ndogo sana mkuu).Sikia kuna kuachana hiyo sikatai, lakini pia kuna mtu upo mwenyewe unaenda unazaa na mtu mwenye familia yake unajisikiaje pale unapona ugomvi wa mke na mme kisa wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza pole kwa mapito uliyopitiaAsante sn mtoa mada nilikue