Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwa hiyo wanaooa single mama hawana akili? Muda mwingine unaoa mama lakini unakuwa daraja kwa mtoto aliyetelekezwa na baba yake.
Mimi nafikiri ungesema wanaume wanaoacha wazazi wenzao kwa sababu zisizo na mashiko hawana akili kwa sababu hawana huruma kwa kiumbe walichokitengeneza, kidogo ningekuelewa.
Huyu single mama ameacha na mzazi mwenzake lakini bado hajasusa mtoto, yupo nae bega kwa bega kumpa kidogo alichonacho, kweli kumuoa mtu wa namna hii mtu awe amekosa akili!
Kuwa serious mkuu, au sema wadada tunaoolewa na wakaka waliowatelekeza wanawake wenye watoto hatutumii akili. Tutabisha [emoji28] lakini itakuwa afadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kubwa kwa hawa watu na ambayo watu wengi wanaiogopa ni pale unapoamua kumuoa halafu kesho unakuja kumkuta na baba watoto wake sehemu wanakula story au unagundua kuwa wana mawasiliano ya siri,hakuna mwanaume mjinga wa kiasi hicho...
 
Mimi nadhani anayezalisha ovyo ovyo kama kuku huko nje ndio amekosa akili kabisa, anazaa hata hana habari na watoto aliowazaa, haoni huruma kwa uzao wake kuzagaa ovyo ovyo huko, huyo ndio hana akili kabisa.

Mara nyingi unapokuwa na mwanamke, kama anakupenda au anakuhitaji katika maisha yake, lazima kuna mbinu atatumia ili kukunasa na mojawapo ni kutega ili anase mimba yako, kuwa makini hasa kama huoni anaweza kuwa mama wa watoto wako.

Nilishawahi kumpa mdada zile dawa za 72hrs kwa sababu niliona hawezi kuwa mama wa watoto wangu na niliingiza mabeberu wote kipindi cha hatari. Nilimpa na kumsimamia azimeze mbele yangu, she was so mad at me lakini alielewa.
 
Bali mwanaume mpumbavu alilelewa na single mum tena akashindwa akampeleka kwa bibi

Anyway nahitaji mwanaume wa kunibebesha mimba tu kisha apite kivyake nami kivyangu

Umri miaka 35 na kuendelea
New single mom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kubwa kwa hawa watu na ambayo watu wengi wanaiogopa ni pale unapoamua kumuoa halafu kesho unakuja kumkuta na baba watoto wake sehemu wanakula story au unagundua kuwa wana mawasiliano ya siri,hakuna mwanaume mjinga wa kiasi hicho...
Hata bila sababu ya mtoto, unaweza kupata mtu ambaye bado ana mambo mengi sana. Akathubutu kuleta hadi watoto ambao sio wa damu yako lakini akakudanganya. Hizi mambo hizi acha tu, ni kufuata misingi ya dini tu ndiyo itakayotulinda.
 
Nimuowe
Then nikute anawasiliana na baba mtoto wake hata Kama sio mabaya
Mimi SIWEZI wakuu yaani ngumu ntapigwa short nife.

kelphin kepph
 
[emoji173][emoji173] that's my bro
Mimi nadhani anayezalisha ovyo ovyo kama kuku huko nje ndio amekosa akili kabisa, anazaa hata hana habari na watoto aliowazaa, haoni huruma kwa uzao wake kuzagaa ovyo ovyo huko, huyo ndio hana akili kabisa.

Mara nyingi unapokuwa na mwanamke, kama anakupenda au anakuhitaji katika maisha yake, lazima kuna mbinu atatumia ili kukunasa na mojawapo ni kutega ili anase mimba yako, kuwa makini hasa kama huoni anaweza kuwa mama wa watoto wako.

Nilishawahi kumpa mdada zile dawa za 72hrs kwa sababu niliona hawezi kuwa mama wa watoto wangu na niliingiza mabeberu wote kipindi cha hatari. Nilimpa na kumsimamia azimeze mbele yangu, she was so mad at me lakini alielewa.

Karma
 
Vipi kuhusu single father yeye hawasiliani na mzazi mwenzie?
Shida kubwa kwa hawa watu na ambayo watu wengi wanaiogopa ni pale unapoamua kumuoa halafu kesho unakuja kumkuta na baba watoto wake sehemu wanakula story au unagundua kuwa wana mawasiliano ya siri,hakuna mwanaume mjinga wa kiasi hicho...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchoyo Lea watoto na mama yao, hujui kesho yako.
Uelewa wangu Ni mzuri kiasi naweza vuka barabara na kwenda chooni tuuu unanitosha.
Nakuona ka mamahuruma vile!! Dah! Yaani miye tu ndo natakiwa kutokujua kesho yangu. Aliye wazaa yuko huko anastarehe zake na kuendelea kuongeza wengine mimi ndo wa kulea?? Halafu kesho mtoto anatoboa ndipo wanamwonesha kwao si ndio?? Pole sana. Miye siwachukii hao watoto kwani nawalea tu ka mayatima ila asinichukulie poa.
Kamwe sitakaa niweke tumaini kwa mtoto wa mtu
 
Hawa viumbe wakuitwa single mother wana shida kubwa sana wanazopata kisaikolojia, ni wajibu wetu kama jamii kuwapambania, nimeshuhudia haya kupitia my blood sisters, both of them are single mothers, mostly of the time they acting like they're okay lakini ukiwaangalia unaona kabisa kuna kitu wanapambana nacho kwenye mioyo yao, both of them wapo successful kiuchumu na lakini haibadilishi ukweli kuwa kuna kitu wanamiss kwenye maisha.
Niozeshe uyo dada yako mwenye kujiweza kiuchumi 😎
 
Nakuona ka mamahuruma vile!! Dah! Yaani miye tu ndo natakiwa kutokujua kesho yangu. Aliye wazaa yuko huko anastarehe zake na kuendelea kuongeza wengine mimi ndo wa kulea?? Halafu kesho mtoto anatoboa ndipo wanamwonesha kwao si ndio?? Pole sana. Miye siwachukii hao watoto kwani nawalea tu ka mayatima ila asinichukulie poa.
Kamwe sitakaa niweke tumaini kwa mtoto wa mtu

Relux fanya utakavyo kulnafsi zaqar mauti.
 
Nakuona ka mamahuruma vile!! Dah! Yaani miye tu ndo natakiwa kutokujua kesho yangu. Aliye wazaa yuko huko anastarehe zake na kuendelea kuongeza wengine mimi ndo wa kulea?? Halafu kesho mtoto anatoboa ndipo wanamwonesha kwao si ndio?? Pole sana. Miye siwachukii hao watoto kwani nawalea tu ka mayatima ila asinichukulie poa.
Kamwe sitakaa niweke tumaini kwa mtoto wa mtu
Unaamini sisi wazalishaji hovyo watoto na kutokuwahudumia kwa chochote huwa wote tunafikiria mtoto akitoboa kimaisha tutamfata kwa namna moja ama nyingine?
 
Back
Top Bottom