google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Wanaume wengi wanawatumia kama tawi la kupumzikia tu alafu haooooo kwa totoz mbichi bila mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wengi wanawatumia kama tawi la mupumzikia tu alafu haooooo kwa totoz mbichi bila mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true,kisaikolojia hawako vizuri,na ukiamua kuishi naye,hekima ya ziada inatakiwa...Fact halafu wengi wameathirika kisaikolojia wababe, wanahasira mara kwa mara hawajiamini tena hata ikatokea mtu akampenda kweli,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Nilikuwa naye mmoja tukashindwana kwa ajili ya hii kituFact halafu wengi wameathirika kisaikolojia wababe, wanahasira mara kwa mara hawajiamini tena hata ikatokea mtu akampenda kweli,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa usemayo.Fact halafu wengi wameathirika kisaikolojia wababe, wanahasira mara kwa mara hawajiamini tena hata ikatokea mtu akampenda kweli,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji109]Kutokuwa na Imani ya dini inaleta Mambo km haya.Kuna Imani inasema hujui nani atakusaidia maishani.Inawezekana mtoto wa nje akakusaidia kuliko wa ndani. Usiogope owa yule umpendae
Dini gani hiyo mkuu?Kutokuwa na Imani ya dini inaleta Mambo km haya.Kuna Imani inasema hujui nani atakusaidia maishani.Inawezekana mtoto wa nje akakusaidia kuliko wa ndani. Usiogope owa yule umpendae
Wakuu Habarini za Leo,
Nimegundua mwanamme mwenye akili hawezi kuoa single mom
Kwanza kabisa mwanamme mwenye akili ni yupi? Ni mwanamme mwenye uwezo wa kufanya maamuzi chanya kwa kutumia akili yake vizuri bila kujali hisia zinasemaje.
Kwa hivyo mwanamme mwenye akili anao uwezo wa kuchakata mambo kwa kutumia ubongo.
Nimemalza Uzi wangu.
Swali kwa dada zangu,
Kaka yako au mwanao akikupa Habari kuwa anaoa single mom utajisikiaje?