Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% ukweli.Kinacho matter Sana ni Sababu ya Yeye kuwa Single Mother ?
Ni Mara Mia Sababu iwe ni kifo cha Mumewe
Sababu Nyingine Kwa tulio wengi ni Ngumu kumeza aisee
Wapo waliopenda /wanaopenda kuwa single mom.
Nimekuogopa yaani we acha tu. Nioe kisa kuutazamia msaada kutoka kwa mtoto wa mtu mwingine?? Kweli watu mmeamua kuchizika kabisa. Alokwambia huyo mtoto ataacha kumtafuta babake nnani?? Kwanza utakavyo mpa pendo ndio kwanza anadhani kuwa babake angempenda zaidi sana kuliko weye. Tena atakuona kuwa weye ka sio mamake hata hufai kitu.Kutokuwa na Imani ya dini inaleta Mambo km haya.Kuna Imani inasema hujui nani atakusaidia maishani.Inawezekana mtoto wa nje akakusaidia kuliko wa ndani. Usiogope owa yule umpendae
Dini gani hiyo mkuu?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nimekuogopa yaani we acha tu. Nioe kisa kuutazamia msaada kutoka kwa mtoto wa mtu mwingine?? Kweli watu mmeamua kuchizika kabisa. Alokwambia huyo mtoto ataacha kumtafuta babake nnani?? Kwanza utakavyo mpa pendo ndio kwanza anadhani kuwa babake angempenda zaidi sana kuliko weye. Tena atakuona kuwa weye ka sio mamake hata hufai kitu.
Mimi nina mashaka na kuelewa kwako. Unasema watoto wengi wa hivyo huwajali sana wazee wao??? Yaani amfahamu babake mzazi asimheshimu akuheshimu weye kisa unalala mamake?? Nimewahi ona; Mmama singeli akitoka na X wake mbele ya wanaye na mumewe.Nina mashaka na umri wako watoto wengi wa hivyo huwa wanawajali Sana wazee wao
Mimi nina mashaka na kuelewa kwako. Unasema watoto wengi wa hivyo huwajali sana wazee wao??? Yaani amfahamu babake mzazi asimheshimu akuheshimu weye kisa unalala mamake?? Nimewahi ona; Mmama singeli akitoka na X wake mbele ya wanaye na mumewe.
Single mum weka mabli sana na utu
Noma sana!Mimi nina mashaka na kuelewa kwako. Unasema watoto wengi wa hivyo huwajali sana wazee wao??? Yaani amfahamu babake mzazi asimheshimu akuheshimu weye kisa unalala mamake?? Nimewahi ona; Mmama singeli akitoka na X wake mbele ya wanaye na mumewe.
Single mum weka mabli sana na utu
Noma sana!Nimekuogopa yaani we acha tu. Nioe kisa kuutazamia msaada kutoka kwa mtoto wa mtu mwingine?? Kweli watu mmeamua kuchizika kabisa. Alokwambia huyo mtoto ataacha kumtafuta babake nnani?? Kwanza utakavyo mpa pendo ndio kwanza anadhani kuwa babake angempenda zaidi sana kuliko weye. Tena atakuona kuwa weye ka sio mamake hata hufai kitu.