Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Fact halafu wengi wameathirika kisaikolojia wababe, wanahasira mara kwa mara hawajiamini tena hata ikatokea mtu akampenda kweli,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa usemayo.

Hawa wanahitaji upendo mkuu.
Tena ule "Upendo faraja", maana mioyo yao ilishajeruhiwa na waliowaamini mwanzo.

Na hapo ndipo chanzo cha kuishi bila kuaminiana. Maana mwanamke haamini, na mwanaume haamini kama aliyemzalisha atakapokuja kumuhitaji baadae!

Yaani kwasasa jamii zetu hizi balaa tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Habarini za Leo,

Nimegundua mwanamme mwenye akili hawezi kuoa single mom

Kwanza kabisa mwanamme mwenye akili ni yupi? Ni mwanamme mwenye uwezo wa kufanya maamuzi chanya kwa kutumia akili yake vizuri bila kujali hisia zinasemaje.

Kwa hivyo mwanamme mwenye akili anao uwezo wa kuchakata mambo kwa kutumia ubongo.

Nimemalza Uzi wangu.

Swali kwa dada zangu,
Kaka yako au mwanao akikupa Habari kuwa anaoa single mom utajisikiaje?
 
Kutokuwa na Imani ya dini inaleta Mambo km haya.Kuna Imani inasema hujui nani atakusaidia maishani.Inawezekana mtoto wa nje akakusaidia kuliko wa ndani. Usiogope owa yule umpendae
Dini gani hiyo mkuu?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kwa hiyo wanaooa single mama hawana akili? Muda mwingine unaoa mama lakini unakuwa daraja kwa mtoto aliyetelekezwa na baba yake.
Mimi nafikiri ungesema wanaume wanaoacha wazazi wenzao kwa sababu zisizo na mashiko hawana akili kwa sababu hawana huruma kwa kiumbe walichokitengeneza, kidogo ningekuelewa.
Huyu single mama ameacha na mzazi mwenzake lakini bado hajasusa mtoto, yupo nae bega kwa bega kumpa kidogo alichonacho, kweli kumuoa mtu wa namna hii mtu awe amekosa akili!
Kuwa serious mkuu, au sema wadada tunaoolewa na wakaka waliowatelekeza wanawake wenye watoto hatutumii akili. Tutabisha [emoji28] lakini itakuwa afadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako single mum waliotulia vizur tu. Suala la kuolewa na kutokuolewa ita depend na mtu jinsi alivyo.
Anaweza kuwa single mum au lah.
Wapo ambao hawajaolewa na ni viruka njia tu
Wakuu Habarini za Leo,

Nimegundua mwanamme mwenye akili hawezi kuoa single mom

Kwanza kabisa mwanamme mwenye akili ni yupi? Ni mwanamme mwenye uwezo wa kufanya maamuzi chanya kwa kutumia akili yake vizuri bila kujali hisia zinasemaje.

Kwa hivyo mwanamme mwenye akili anao uwezo wa kuchakata mambo kwa kutumia ubongo.

Nimemalza Uzi wangu.

Swali kwa dada zangu,
Kaka yako au mwanao akikupa Habari kuwa anaoa single mom utajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona jamaa hajibiwi swali lake mpaka sasa!! Hebu wadada na wanawake mumjibj hilo swali

☆E pluribus unum☆
 
Back
Top Bottom