latifu mohamed
Member
- May 1, 2017
- 20
- 16
NAKAZIAukishazaa kabla ya kuolewa ni sawa na scraper-chuma chakavu
Mbona hata siku hizi ni hivyo hivyo......single maza ni mke wa pili, au anaolewa na mzee au Mgane.Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana
Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani
siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single mothers
Kwetu tarime ukishazaa kabla ya kuolewa unakuwa ni sawa na scraper-chuma chakavu
unaweza kuolewa tu na mzee na sio kijana , yaani unatakiwa kuwa mke wa pili na kuendelea na mahari inashuka
Je kwenye jamii yenu hili jambo lipoje
Hao wanaojiweza kiuchumi wako wapi?Mila na dini zimeshindwa kudhibiti, hiyo ndiyo fasheni mpya ya maisha. Usingo mama wengi wanautaka, wanaume wamegeuka wahanga wa mtindo huo. Wanawake wanazaa lakini hawataki kuishi na waliowazalisha kwa kuwa wanajiweza kiuchumi zaidi ya baba watoto. Wanawake wanataka watoto tu bwana hawataki wanaona watabanwa hawatakuwa huru maishani mwao
Ila wengi wana akili sana na wanajituma.kwenye familia zao. Na wanategemewaTatizo single mother unakuta ndo analisha familia yao yoteee....
Mumtenge awaache na njaa mfe....
Akila kona nyie mnakula jeuri yenu... Kazi juu ya kazi.
ππππππTatizo single mother unakuta ndo analisha familia yao yoteee....
Mumtenge awaache na njaa mfe....
Akila kona nyie mnakula jeuri yenu... Kazi juu ya kazi.
Jamii nyingi zamani pia dada zako walikuwa wanatahiriwa ili wasipate hamu ya kufanya mapenzi kwa urahisi.Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana
Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani
siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single mothers
Kwetu tarime ukishazaa kabla ya kuolewa unakuwa ni sawa na scraper-chuma chakavu
unaweza kuolewa tu na mzee na sio kijana , yaani unatakiwa kuwa mke wa pili na kuendelea na mahari inashuka
Je kwenye jamii yenu hili jambo lipoje
NAKAZIAsingo maza ni laana
KATAA KULEA BAO LA MWANAUME MWENZIO
huwaoni hao mastaa na wanaharakati ongeza na wasomi, uliona wana waume japo wana watoto?Hao wanaojiweza kiuchumi wako wapi?