Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Najua, ndiyo maana umakini unahitajika unapochagua mwenza wa maishaHivi unajua 2010 na 2023 ni miaka 13 tu lakini hapo Kati Kuna mabadiliko sio ya dunia hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua, ndiyo maana umakini unahitajika unapochagua mwenza wa maishaHivi unajua 2010 na 2023 ni miaka 13 tu lakini hapo Kati Kuna mabadiliko sio ya dunia hii
Mkifika Umri wetu ndiyo mtakuja kuona umuhimu wa ndoaSawa bac si hatutaki kuoa sijaona hoja ya maana uliyotoa kunishawishi...
🤣🤣🤣🤣Umri gani utaje hapa uwe clear, ili tukifika tukutafute maana unasema hivi hujui Umri za watu huku...Mkifika Umri wetu ndiyo mtakuja kuona umuhimu wa ndoa
Hahaha..............Fika kuanzia miaka 48 utajua hujui🤣🤣🤣🤣Umri gani utaje hapa uwe clear, ili tukifika tukutafute maana unasema hivi hujui Umri za watu huku...
Wengi wamevurugwa wana matamanio ya kuishi Maisha tamthilia waliyodandanywa na baba za watoto wao na hizo picha hua hazitoki vichwani mwao yaan zinakua zimeganda kwenye UBONGO kwa hio wanakua na maruweruwe mda mwingi anataka uwe km baba wa watoto wake au uwe zaidi ya ukiwa tofauti Mzee wangu umechezea za mbavu maana ataendelea kumtafuta yule jamaa alieweza kumpiga fix mpaka kumpiga mimba aendelee kumpigisha story zile zilekwa mbali labda mwenye mtoto 1 na awe na mvuto wa kifua, otherwise sijui naonaje nachafukwa.
Huwezi kuwa kwenye ndoa kama huna akili.🤣Unajua we huelewi...shida sio kuzalisha au kulea shida ni Ile ndoa..ule mkataba wa kisheria ndo watu wanaukwepa. We imagine unaoa afu mke anakucheat na mlinzi na bado anadai mamillion ya divorce si ukichaa huo ..Sasa yote ya Nini ..hatujakataa kuzaa sijui kulea ishu ni mkataba huo batili hatuutaki
Single Mamaz are like solitary buffalo and solitary Lion that's it, but those that had intentionally wanted such mode of life and they economically ok labda anaweza kuwa tofauti, however stability is always key for themWengi wamevurugwa wana matamanio ya kuishi Maisha tamthilia waliyodandanywa na baba za watoto wao na hizo picha hua hazitoki vichwani mwao yaan zinakua zimeganda kwenye UBONGO kwa hio wanakua na maruweruwe mda mwingi anataka uwe km baba wa watoto wake au uwe zaidi ya ukiwa tofauti Mzee wangu umechezea za mbavu maana ataendelea kumtafuta yule jamaa alieweza kumpiga fix mpaka kumpiga mimba aendelee kumpigisha story zile zile
Hapa nakubariana na wewe, wanawake kuishi nao unahitaji akili yenye utulivu wa hali ya juu yaan vichwa vyako vyote vifanye kazi kwa utulivu kabisaMungu ameshatuagiza tuishi na wanawake kwa akili, sasa ukiona akili huna achana na ndoa hutoiweza.
Akili ya ndoa au kipaji cha kuishi ndoa au maarifa mtambuka ya kuishi na viumbe wanawake?Huwezi kuwa kwenye ndoa kama huna akili.
Mungu ameshatuagiza tuishi na wanawake kwa akili, sasa ukiona akili huna achana na ndoa hutoiweza.
You have to be stable in all aspects mentally & economically, single woman wana stress sana yaan ni Melancholic kabisaSingle Mamaz are like solitary buffalo and solitary Lion that's it, but those that had intentionally wanted such mode of life and they economically ok labda anaweza kuwa tofauti, however stability is always key for them
🤣🤣🤣So we umeoa una miaka 48 au..Hahaha..............Fika kuanzia miaka 48 utajua hujui
🤣🤣Sawa mwenye akili umeoa 1980Huwezi kuwa kwenye ndoa kama huna akili.
Mungu ameshatuagiza tuishi na wanawake kwa akili, sasa ukiona akili huna achana na ndoa hutoiweza.
Miaka 48 na kuendelea ndiyo umri wa kuanza kuhisi umuhimu wa ndoa, maana ujana ndiyo unaanza kukutoka.🤣🤣🤣So we umeoa una miaka 48 au..
Mfano kipi mkuuMiaka 48 na kuendelea ndiyo umri wa kuanza kuhisi umuhimu wa ndoa, maana ujana ndiyo unaanza kukutoka.
Mengi utaanza kuyajutia hasa yale uliyokuwa unayafanya ujanani, hasa yale ya hovyo.
Maana athari zake ndiyo zitaanza kuonekana
KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI NDOA NI MAUAJI NDOA NI HUJUMA KATAA NDOA""Kampeni ya kataa ndoa naiunga mkono Kwa aslimia zote.""
Naondoka na hili, hayo mengine HAYANIHUSU.
#YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee,KATAA SINGLE MAZA.
SINGLE MAZA NI MKOSI.