Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Fanyeni machaguo sahihi, ukioa kwa kuangalia Degree nyingi za Mkeo ama Kazi nzuri ya Mkeo basi jua Mtakuwa Wanaume Wawili ndani ya Nyumba moja.Single with no kids but also schooling au fellowship ya wanaotaka waume?
Oeni Wanawake wenye sifa ya kuwa Mama wa Watoto wako