Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Naona Jamii Forum imekuja na "Single Mothers Special Thread" yaani ukiaanzisha tu uzi wa Single Mother unatupiwa hapa, nawapongeza sana kwa uamuzi huu mzuri, [emoji122][emoji122]

Wote wenye maduku duku yenu juu ya Single mothers myateme hapa na sio kutujazia server.
 
Mungu ni mwema,

maisha ya mapenzi ni vurugu mechi haswa. Single mother binafsi nimewashindwa. Mambo ni mengi hawa watu tusuze rungu kwa msimu na bata za kukosa option, ila kuwa na single mother kolikoli daily nimeshindwa.

Siwezi kuendana na hawa single Mamaz sijui nawaonaje nikiwa nao, kwenye story nikisikia tu nina watoto mmoja sijui form 4, mwingine la 7, sijui mwingi form2, aisee nabadirika hapo hapo, kwa mbali labda mwenye mtoto 1 na awe na mvuto wa kifua, otherwise sijui naonaje nachafukwa.

Kampeni ya kataa ndoa naiunga mkono Kwa aslimia zote.

Single mother binafsi hapana

Kichwamoto na moto wake
 
Hivi hii Kampeni ya Kataa ndoa ingefanywa na Wazee wenu, vipi ninyi mngezaliwa kwenye hizo familia?

Kuna mambo sio ya kuya-entertain ikiwemo ndoa.

Kuwa na taasisi imara ya familia inahitaji kila kijana kuoa.

Muda wa kuoa ukifika niletee kadi nitakuchangia

Sisi Wazee wenu tusingependa kuwaona vijana wetu mnapotea.

Please, rudini kwenye misingi ya imani zenu za kidini.

Dini zote zinakataa Uzinzi na kujichukulia sheria mkononi( Kujichua) 🤪
 
Naurafiki na single mothers ambaye ana kaglosari nikipita kupata Moja mbili Cha kushangaza ana mahusiano mapya na malengo na mtu wake anakuja hapo na Wana malengo ya kuoana ila siku Moja na mkuta baba wa mtoto hapo na wanakumbushana kupasha kiporo.
Aisee na grosari nimeama kuona aibu ya yule jamaa maana mda mwengine utupia bia kama jirani
 
Kwahiyo Mzee wetu baba yetu UNATAKA VIJANA WAOE SINGLE MAZA?

Yaani unataka wanunue viwanja vyenye migogoro?

#YNWA
 
Naurafiki na single mothers ambaye ana kaglosari nikipita kupata Moja mbili Cha kushangaza ana mahusiano mapya na malengo na mtu wake anakuja hapo na Wana malengo ya kuoana ila siku Moja na mkuta baba wa mtoto hapo na wanakumbushana kupasha kiporo.
Aisee na grosari nimeama kuona aibu ya yule jamaa maana mda mwengine utupia bia kama jirani
Daah, kwakweli single mama ni hatari sana kwa afya yako yani wana malengo na mtu mwingine tena kuoana kabsa alafu anakuja mzaz aliyezaa nayo bado wanatombana tena aisee single maza ni mkusanyiko wa magonjwa yotee
 
Hivi hii Kampeni ya Kataa ndoa ingefanywa na Wazee wenu, vipi ninyi mngezaliwa kwenye hizo familia?

Kuna mambo sio ya kuya-entertain ikiwemo ndoa.

Kuwa na taasisi imara ya familia inahitaji kila kijana kuoa.

Muda wa kuoa ukifika niletee kadi nitakuchangia

Sisi Wazee wenu tusingependa kuwaona vijana wetu mnapotea.

Please, rudini kwenye misingi ya imani zenu za kidini.

Dini zote zinakataa Uzinzi na kujichukulia sheria mkononi( Kujichua) 🤪
Tumbili wamejaa sana tunzeni watoto wenu hadi waolewe, mmeacha wanazagaa hawana bikra nani awaoe labda chui wenye njaa ndio mlo wao. Kataa ndoa ni kampeni tukufu
 
Back
Top Bottom