Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

kwa mbali labda mwenye mtoto 1 na awe na mvuto wa kifua, otherwise sijui naonaje nachafukwa.
Wengi wamevurugwa wana matamanio ya kuishi Maisha tamthilia waliyodandanywa na baba za watoto wao na hizo picha hua hazitoki vichwani mwao yaan zinakua zimeganda kwenye UBONGO kwa hio wanakua na maruweruwe mda mwingi anataka uwe km baba wa watoto wake au uwe zaidi ya ukiwa tofauti Mzee wangu umechezea za mbavu maana ataendelea kumtafuta yule jamaa alieweza kumpiga fix mpaka kumpiga mimba aendelee kumpigisha story zile zile
 
🤣Unajua we huelewi...shida sio kuzalisha au kulea shida ni Ile ndoa..ule mkataba wa kisheria ndo watu wanaukwepa. We imagine unaoa afu mke anakucheat na mlinzi na bado anadai mamillion ya divorce si ukichaa huo ..Sasa yote ya Nini ..hatujakataa kuzaa sijui kulea ishu ni mkataba huo batili hatuutaki
Huwezi kuwa kwenye ndoa kama huna akili.

Mungu ameshatuagiza tuishi na wanawake kwa akili, sasa ukiona akili huna achana na ndoa hutoiweza.
 
Wengi wamevurugwa wana matamanio ya kuishi Maisha tamthilia waliyodandanywa na baba za watoto wao na hizo picha hua hazitoki vichwani mwao yaan zinakua zimeganda kwenye UBONGO kwa hio wanakua na maruweruwe mda mwingi anataka uwe km baba wa watoto wake au uwe zaidi ya ukiwa tofauti Mzee wangu umechezea za mbavu maana ataendelea kumtafuta yule jamaa alieweza kumpiga fix mpaka kumpiga mimba aendelee kumpigisha story zile zile
Single Mamaz are like solitary buffalo and solitary Lion that's it, but those that had intentionally wanted such mode of life and they economically ok labda anaweza kuwa tofauti, however stability is always key for them
 
Huwezi kuwa kwenye ndoa kama huna akili.

Mungu ameshatuagiza tuishi na wanawake kwa akili, sasa ukiona akili huna achana na ndoa hutoiweza.
Akili ya ndoa au kipaji cha kuishi ndoa au maarifa mtambuka ya kuishi na viumbe wanawake?
 
Single Mamaz are like solitary buffalo and solitary Lion that's it, but those that had intentionally wanted such mode of life and they economically ok labda anaweza kuwa tofauti, however stability is always key for them
You have to be stable in all aspects mentally & economically, single woman wana stress sana yaan ni Melancholic kabisa
 
🤣🤣🤣So we umeoa una miaka 48 au..
Miaka 48 na kuendelea ndiyo umri wa kuanza kuhisi umuhimu wa ndoa, maana ujana ndiyo unaanza kukutoka.

Mengi utaanza kuyajutia hasa yale uliyokuwa unayafanya ujanani, hasa yale ya hovyo.

Maana athari zake ndiyo zitaanza kuonekana
 
Mfano kipi mkuu
 
Single mother ni kwaajili ya kusuuzia rungu tuu tena night kali sana ili ukiamka unaamka na akili zingine kabisa
 
Habari za mchana

Natarajia kumuoa huyu single mother wangu nimempenda na ninataka kufunga naye ndoa kabisa,

Kuhusu mtoto wake atakua wangu na huyo mzazi mwenzake wala simuwazi mimi hanipishida , siwezi kumuacha huyu single mother lazima ni muoe na awe mke wangu.

Vijana unaotaka kuoa msiogope single mother, bali waogopeni hawa mabinti wadangaji ma wanaotoa mimba hao ndiyo wabaya sana hawajui kupenda wala hawana mapenzi ya dhati kama single mother.

Ninacho wajulisha vijana ukweli uliofichika mi kwamba single mother ni watamu sana, wanajua kupenda kwa dhati kutokea moyoni, ni wakarimu , wana huruma sana , wastaarabu, hawana baya kabisa na pia ni wife material kweli kweli.

Hebu jiulize ameweza kulea mtoto mwenyewe mpaka kakua bila kutoa mimba upendo ulioje huu. Kwa kweli acha tu nimuoe huyu single mother hana baya kabisa
 
Back
Top Bottom