JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Chama Chenu cha Mashoga "TaSHo" yaani "Tanzania Shoga" mtashiriki maandamano, au hamjatoa tamko Bado!?Umoja wa Wakulima nchini Tanzania tunafahamu mchango wa Serikali yetu katika kukuza, kuinua na kuongeza kipato kupitia programs mbalimbali hususan ruzuku ktk pembejeo.
Kutokana na msingi huo sisi Wakulima nchini tunaamini kwamba hata kama zipo changamoto kadhaa katika baadhi ya maeneo bado Serikali inaweza kuzitatua kwa njia nyingi za kidplomasia.
Soma Pia: