Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndicho ulichojifunza kwenu hicho. Sikushangai.

Dada zako wangapi ushawapeleka pm kwenu? Au huwa unaenda na mamako?
Faiza acha longo longo umeitwa PM nenda
Dada na mama yake wana husikaje hapa
Nenda PM mkaongee huko kama utampa k ni maamuzi yako usitusumbue
Inaonesha huyo kijana anajua tabia yako ndiyo maana amekuita PM
Mnajifanya watakatifu hapa kumbe wahuni wakubwa
Kwenda zako hukooo....
 
Isome mada. Hata wewe unaweza kwenda msaidia pm.

Kwetu sijafundishwa mambo ya pm.
 
Ninafikiliaga kama wewe. Ila wale jamaa na imani yao wamezidi mno... Wale sasa wemefika hatua mbaya.

Ila kuna zile mila zetu potofu za kiafrika alo wazee wetu walikuwa ma- genius.
 
Zote ni sababu nzuri kabisa.

Swali linakuja, yanaanzia wapi?
Yanaanzia hapa mwanamke akishakua na Elimu, pesa (anajimudu kiuchumi) anakua hashikiki dharau kiburi jeuri.

Wengi wako hivi na kwa kwabahati mbaya wanaume tulivyo hatuwezi kuvumilia fedheha ya aina hii hasa kutoka kwa mwanamke.

Kwahiyo uwezo wa kifedha au /na elimu kwa mwanamke katika mahusiona (ndoa) unamjengea jeuli anaweza akaamua kirahisi tu waachane na ndivyo inavyokuaga.

Uvumilivu wa mwanamke katika ndoa sometimes ni unasababishwa na utegemezi wake kwa mwanaume juu ya mahitaji yake... Sasa kama mahitaji yake anayamudu ikitokea changamoto ndogo tu ya kindoa anabeba vilago. Ila kama ndoa imejengwa kwa misingi mila au mafunzo ya kiimani basi ndoa itadumu angalau shida inakuja sasa hivi wengi ni atheist.
 
Ivi wakuu hii single mother nadhani sijaelewa vizuri!

Inamaana ni mama ambae hamjui kabisa baba wa mtoto wake? Kwasababu tofauti tofauti Au,

Ni mama yeyote aliyepata mtoto ila ametengana na baba wa mtoto kwa namna yoyote ile!
? . Au,

Vyote kwa pamoja.? FaizaFoxy
 
Nijuavyo ni mama anaelea peke yake, mitoto iliyopatikan kwa njia za haramu.
 
Tatizo kubwa wanatanguliza mahusiano pesa na kupelekea kutelekezwa na wanaume wanaojitambua.
Kuna viashiria ambavyo wanaume tukiviona, tunajua huko mbeleni kutakuwa na kilio cha kusaga meno, kwa hiyo suluhisho ni kumkimbia mapema kabla ya kujeruhiwa.​
 
😁😁😁Inaonekana kwenye kipengele cha pesa mwanamke hashauriki wala harekebishiki.

Wanawake Waliowengi kwenye kundi hili ni wale graduates, exposure ya kitaa cha kibongobongo hawana wao wanataka ku-force maisha flani hivi classic.

Bahati mbaya mtoto wa kike sio kama wa kiume kwamba utamuacha kitaa kimfunze ajue maisha. Na kama ni mpenzi wako basi inakubidi umdekeze kimayaiyai hivyo hivyo ukisema umkazie anasepa kwa bwege mwingine anamwaga pesa balaa afu wanakwambia tafuta pesa.

Utandawazi ni changamoto ila mila na destuli zinatatua changamoto kama hizi.
 
Kuna mmoja jna nimempa makavu na kumtimua kiaina.
Anajifanya kunipendaa shenz zake.

Kuna kauli moja zamani alinambia nimsaidie kulea mtoto, nikaona huyu mwehu, mim mwenyewe sina mtoto.
 
Waliiwacha "empowerement" ya Mwenyezi Mungu, kwenye Qur'an ipo wazi kabisa, wakajifanya wao wanajuwa kuliko aliyewaumba, sasa wanaumbuka.
Beijing conference, ilizaa balaa wanawake baadhi wanafuata misingi ya kwenye bible na quran Wana amani na ndoa zao , wengine wengi ndio hao huishia kua wajane na singo Maza wasiojielewa hujifanya wanapambana kumbe wanaishia kuliwa kama mbwa tu
 
Kuna mmoja jna nimempa makavu na kumtimua kiaina.
Anajifanya kunipendaa shenz zake.

Kuna kauli moja zamani alinambia nimsaidie kulea mtoto, nikaona huyu mwehu, mim mwenyewe sina mtoto.
Usitarajie upendo wa kweli kutoka kwa single mother au mjane hao watu ni wazushi Sana , kaa nao kwa akili hata awe kasoma bado ni malaya Tu , hawana tofauti na mashetani yanayoishi
 
Usitarajie upendo wa kweli kutoka kwa single mother au mjane hao watu ni wazushi Sana , kaa nao kwa akili hata awe kasoma bado ni malaya Tu , hawana tofauti na mashetani yanayoishi
Pamoja mkuu nimekupata,
Siwezi kuanza mechi ubao unasoma 1-0, lazima tuanze 0-0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…