Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

downloadfile-104.jpg
 
Si nilimuoa singo Maza mmoja hivi huku nikijisemea, "nimepata", baada ya mwaka mmoja nikagundua kuwa alimuua aliyekuwa Mme wake kwa kisu cha kukatia mboga baada ya mume kubadili channel iliyokuwa inaonesha tamthiliya na kuweka channel iliyokuwa inayokuwa inaonesha mpira.

Hallo! Nilikuwa nimelidandia treni la umeme kwabile.

Nilitoka nduki huku nikijisemea "nilikuwa nimepata kumbe nimepatikana". Single Mazas 🙌
Weka humu 🗑️
 
Back
Top Bottom